Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Fukuza
 
Umaskini na wivu haviendani.

Mzingue dogo ulimwe notisi na baba yake.

Kama Bi. Mkubwa wake yupo hapo tembea nae ili na wewe uwe baba yake wa kambo.

Kiufupi mbali ya ukicheche wa dogo na wewe huna mke hapo. Mwanamke mwenye staha zake hakaribishi mwanaume yeyote ndani kwake ikiwa mumewe hayupo.
 
Form three si kama mtoto tu kamkaribisha
 
Me naona shida ni kwamba, nyie wote wawili mmeoa wanawake hawana shughuli za kujitafutia kipato, idle mind inawazaga usenge tu, ndo maana wake zenu wanatombwa na mvulana wa form 3. Wafungulieni sehemu ya kutafuta ridhki, wachoshe mwili.
 
Wakati anampakua mke wa jirani yako ukaamua kukaa kimya kwa sababu hayakuhusu.

Sasa mziki unapigwa malangoni kwako. Kaa kwa kutulia mkuu. Hayakuhusu hayo pia
 
Me naona shida ni kwamba, nyie wote wawili mmeoa wanawake hawana shughuli za kujitafutia kipato, idle mind inawazaga usenge tu, ndo maana wake zenu wanatombwa na mvulana wa form 3. Wafungulieni sehemu ya kutafuta ridhki, wachoshe mwili.
Eti wanasema wanawake wanaofanya kazi wanaliwa sana makazini, bora waoe magolikipa wa kukaa nyumbani.
 
Na wewe mbandue
 
Yaani aue mtu kwa sababu ya unzinzi wa mtu mwingine, No thanks!
Wanawake wamejaa mtaani wanasubiri waoaji. Unamuacha unaendelea na mishe zako naye anaendelea na form 3 wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…