Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Mimi binafsi nilimwambia mke wangu asikaribishe wageni wa jinsia me nikiwa sipo
 
Mimi mtaani naogopewa sana,hakuna mtu ananiletea masikhara
 
Siku nyingine mtie dogo mitama
 
Mkeo hajafundwa, chumba na sebule unakaribishaje mgeni wa kiume ndani hali mumeo hayupo?

Yani Baba K wangu angerusha mitama na notisi tungepewa....chumba na sebule wageni wa kiume unawatolea kiti nje.
Huyo Baba K wako ndio Mimi ningewatia mitanda wewe, K, na huyo form 3 wako umemuongizaje chumbani kwangu na mikanda mngeonja kumbafu
 
Hivi bado mnaoa tu!?
Chapa tembea, kuoa ni UJINGA.
#KATAANDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…