Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Huyo Baba K wako ndio Mimi ningewatia mitanda wewe, K, na huyo form 3 wako umemuongizaje chumbani kwangu na mikanda mngeonja kumbafu
Tulipanga sehemu wapangaji wenzetu wa kiume walikuwa wananiogopa🤣🤣🤣 Alikuwa anawapiga jicho la mwana ukome🤣🤣
Mleta mada anajichekesha hadi mkewe anachukuliwa poa, watu wanaingia kwake Kama kwao🤣🤣🤣
 
😆😆😆🤪 Kuna wanaume tumeumbwa na jicho la hivyo linaitwa ole wako nikukute yaan lazima ukae mbali na nyama yangu hata ukiwa unaifuatilia ukigundua mwenyewe muhusika ni Mimi lazima uongie mitini tu au ubadirishe njia
 
Mbona mods wameifuta? Hawataki wale tips nini?
 
Unakubali vipi kwenda kuishi kwenye nyumba ya namna hiyo Mkuu? Naona kama ulichelewa sana hadi yanaanza kukuta. Ulidhani akiachana na mke wa mwenzio atamfuata yupi?

Hakuna ushauri mwingine zaidi ya kukomesha mazoea ya huyo mjinga na mkeo. Sijui kwanini wakiona wako single hawawafuati? Wanangoja hadi mtu abebe mzigo.

Wanachofanya hao wajinga ni kukuponda tu kwa mkeo ili wao sasa ndiyo waonekane wa maana. Fanya kila njia uvunje tu hayo mazoea kwa hali yoyote ile.

Ila jambo kubwa zaidi ni kuhama tu hiyo nyumba.

Ova
 
Huyo ana mkonge mpana na mrefu kuliko wako na mshkaji ndo mana wake zenu hawaambiliki tena
 
HV ukai na panga ndani mkuu
 
 
Akishindwa kufuata maelezo haya basi ni mjinga
Mtaani kwangu vijana hawana mazoea ya ajabu ajabu na Mimi au mkewangu hata ambao nalingana nao umri yaani pia mwanamke ukimwambia kitu ni mara moja tu afute maagizo au aanze utekelezaji na pia kwangu mtu haingii hovyo hovyo kwanza anaanzaje na wanajua sinaga mazoea ya ajabu ajabu na mtu..mwanamke akianza kukudharau live mzee hali yako mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…