Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hivi kitoto cha form 3 unakivuliaje nguo loh. Halafu inakuwaje mtu anaingia nyumbani kwako hovyohovyo. Sinaga mazoea na watu baki kuingia nyumbani kwako iwe me au ke.Huyo Baba K wako ndio Mimi ningewatia mitanda wewe, K, na huyo form 3 wako umemuongizaje chumbani kwangu na mikanda mngeonja kumbafu
In short ni kwamba, Huwezi kumpangia mtu matumizi ya sehemu zake za siri ila hizo tabia za kukuta mvulana ndani ya nyumba yako hauwezi kuzikuta kwa mwanamke ambaye hashindi nyumbani kama futio la miguu kwenye mlango.Eti wanasema wanawake wanaofanya kazi wanaliwa sana makazini, bora waoe magolikipa wa kukaa nyumbani.
Mwanaume ni kichwa cha familia na mwanaume ndyo sauti ya mwisho.Wakuu mulibwanji?
Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.
Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.
Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.
Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.
Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.
Wakuu mnanishauri nini?
Kama mwanamke ni malaya ata aende wapi ata liwa tuFunga Camera kimia kimia ndani unganisha na simu. Dogo akitimba ndani popote ulipo unapiga simu kuonya.
Kuondokana na adha hiyo hama eneo hilo kunusuru ndoa yako. Pole sana mkuu
Kama mkeo yupo radhi mgombane kisa huyo dogo bro huna chako. Angekua ni mwanamke anae jielewa asinge ruhusu hata mazoea na huyo chalii. Kifupi huna mke labda ujifanye kichwa ngumu kuendelea kuamini huyo ni mkeoWakuu mulibwanji?
Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.
Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.
Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.
Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.
Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.
Wakuu mnanishauri nini?
Huyo dogo ungemtimua mbele ya mkeo, halafu mkeo akileta mdomo fukuza na yeye mazoea ya kijinga sana hayo. Mwambie mkeo ukweli kama analeta mdomo mpe mapumziko unakuwaje mnyonge kiasi hicho. Huyo Form3 mwambie bayana hautaki mazoea na ndani kwako.
Huyo form three anaongea nn na mke wa mtu kwake na ni muda ambao inatakiwa ajifungie chumbani kwake kujisomea......?Form three si kama mtoto tu kamkaribisha
Atakuwa kajaaliwa mtarimbo wa haja, kuna dogo kitaa yupo around 9/11 kuna siku alitoka nje yupo naked, huyu dogo atakuja kuwachanganya sana wanawake wanaopenda mitarimbo akiwa mkubwa.Form three anakaza mpaka wake za watu duh
Nikisomaga nyuzi kama hii aliyoandika jamaa hapo juu ambaye siku si nyingi anaenda kutombewa mkewe na kijana wa upili,mimi huwa nalia tu wazee nyumba za kupanga zina mengi sana.Kama mkeo yupo radhi mgombane kisa huyo dogo bro huna chako. Angekua ni mwanamke anae jielewa asinge ruhusu hata mazoea na huyo chalii. Kifupi huna mke labda ujifanye kichwa ngumu kuendelea kuamini huyo ni mkeo
Hama usijepelekwa jela bure akikufuata na huko then mpe kitu roho inapendaWakuu mulibwanji?
Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.
Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.
Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.
Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.
Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.
Wakuu mnanishauri nini?
Dogo baada ya kutomba mkeo akaamua ampikie na wali kabisa
Hii umeamua kumpa tuu makavu bila kificho.Ukiona manyoya ?
Mkeo kajiuliza inakuwaje dogo anamlamba mke wa mtu?ana maajabu gani?kataka kuthibitisha mwenyewe ndo maana anakujibu ovyo...
Kwa ufupi huyo dogo anawalamba wote mkeo na mke wa jirani...
Wanawake zenu wanajua Siri ya huyo dogo ndo maana hawajali tena...
Pole Sana