Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Huyo Baba K wako ndio Mimi ningewatia mitanda wewe, K, na huyo form 3 wako umemuongizaje chumbani kwangu na mikanda mngeonja kumbafu
Hivi kitoto cha form 3 unakivuliaje nguo loh. Halafu inakuwaje mtu anaingia nyumbani kwako hovyohovyo. Sinaga mazoea na watu baki kuingia nyumbani kwako iwe me au ke.
 
Eti wanasema wanawake wanaofanya kazi wanaliwa sana makazini, bora waoe magolikipa wa kukaa nyumbani.
In short ni kwamba, Huwezi kumpangia mtu matumizi ya sehemu zake za siri ila hizo tabia za kukuta mvulana ndani ya nyumba yako hauwezi kuzikuta kwa mwanamke ambaye hashindi nyumbani kama futio la miguu kwenye mlango.
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Mwanaume ni kichwa cha familia na mwanaume ndyo sauti ya mwisho.
Mwambie ni marufuku huyo kijana kuingia ndani wala kuwa na mazoea naye
Ndoa ya jamaa imevunjika kwasabb ya huyo dogo kwahiyo dg anatafuta chimbo jipya
 
Funga Camera kimia kimia ndani unganisha na simu. Dogo akitimba ndani popote ulipo unapiga simu kuonya.
Kuondokana na adha hiyo hama eneo hilo kunusuru ndoa yako. Pole sana mkuu
Kama mwanamke ni malaya ata aende wapi ata liwa tu
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Kama mkeo yupo radhi mgombane kisa huyo dogo bro huna chako. Angekua ni mwanamke anae jielewa asinge ruhusu hata mazoea na huyo chalii. Kifupi huna mke labda ujifanye kichwa ngumu kuendelea kuamini huyo ni mkeo
 
Huyo dogo ungemtimua mbele ya mkeo, halafu mkeo akileta mdomo fukuza na yeye mazoea ya kijinga sana hayo. Mwambie mkeo ukweli kama analeta mdomo mpe mapumziko unakuwaje mnyonge kiasi hicho. Huyo Form3 mwambie bayana hautaki mazoea na ndani kwako.

Hapana mfukuze mkeo kisa dogo?? Uyo dogo jamaa alalae nae mbele vizia kwenye kona mwambia najua upuuzi wako mazoea kwa mke wangu acha!! Hajaelewa ukimkuta ndani tembeza kichapo haswa mpaka mwenyekiti aitwe alafu uwone kama atarudia ujinga
 
Yani dogo wa form 3 ndio wa kumuanzishia uzi...ama kweli wanaume wa kweli tumebaki wachache sana
 
Wewe funga camera tu

Akiliwa , ita vidume mfungie loji wawale wote MBELE yako

Harafu Rudi nyumbani kimya .

Cheka na kufurahi nao kama hujui

Lkn usile Wala kunywa maji kwako
 
Form three anakaza mpaka wake za watu duh
Atakuwa kajaaliwa mtarimbo wa haja, kuna dogo kitaa yupo around 9/11 kuna siku alitoka nje yupo naked, huyu dogo atakuja kuwachanganya sana wanawake wanaopenda mitarimbo akiwa mkubwa.

huyu mke wa jamaa lazima alisimuliwa show ya dogo na huyo mwanamke wa mwanzo, na atakuwa ameshamla tayar, wanakoelekea ni kwenye 3some.
 
Duuuuuh hatari kaa na dogo mchane makavu Kisha Rudi home ongea na mke
 
Kama mkeo yupo radhi mgombane kisa huyo dogo bro huna chako. Angekua ni mwanamke anae jielewa asinge ruhusu hata mazoea na huyo chalii. Kifupi huna mke labda ujifanye kichwa ngumu kuendelea kuamini huyo ni mkeo
Nikisomaga nyuzi kama hii aliyoandika jamaa hapo juu ambaye siku si nyingi anaenda kutombewa mkewe na kijana wa upili,mimi huwa nalia tu wazee nyumba za kupanga zina mengi sana.
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Hama usijepelekwa jela bure akikufuata na huko then mpe kitu roho inapenda
 
Dogo baada ya kutomba mkeo akaamua ampikie na wali kabisa

Na kaingia na viatu as if yeye ndo father house. Na jamaa kashindwa cha kumfanya kaja kulia JF kana kwamba anamuogopa.

Hiki kizazi cha 2000's hawana hofu kabisa.
 
Binafsi hapo natoa kipigo cha kishkaji kwa dgo nahakikisha namtoa angalau nundu 12 usoni siwezi kuhama kirahisi namna hiyo
 
Ukiona manyoya ?

Mkeo kajiuliza inakuwaje dogo anamlamba mke wa mtu?ana maajabu gani?kataka kuthibitisha mwenyewe ndo maana anakujibu ovyo...
Kwa ufupi huyo dogo anawalamba wote mkeo na mke wa jirani...
Wanawake zenu wanajua Siri ya huyo dogo ndo maana hawajali tena...
Pole Sana
Hii umeamua kumpa tuu makavu bila kificho.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Wewe kama ni mwanaume unakuja hapa na kutaka ushauri ina maana uwezi kutoa suluhisho wewe mwenyewe bs kazi ipo.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Wewe kama wewe una waza ufanyeje au una mpango gani kabla hujafanyia kazi ushauri wa Jf
 
Back
Top Bottom