"Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kiukweli binadamu ni wabishi sana.

Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄

Anyway, hawa ndio binadamu.
 
Clinical officers siku hizi ni madaktari pia?
Hahaha mkuu hili jiwe gizani ni zito Sana [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]

Ila acha tu mtete wengi tunajuaga watoa huduma wowote tutaowakuta iwe zahanati au kituo Cha afya tunawapa heshima yao kwa kuwaita dokta...hata wadada wa mapokezi kwa kuwapa heshima tunawaita nurse ili wajiskie vizuri.
 
Unajua kuna aina fulani ya uchangiaji wa mtu unakuonyesha kabisa kuwa hawezi kuwa daktari. Matusi kwa sana kama konda atakuwa daktari kweli?
Hahaha mkuu hili jiwe gizani ni zito Sana [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]

Ila acha tu mtete wengi tunajuaga watoa huduma wowote tutaowakuta iwe zahanati au kituo Cha afya tunawapa heshima yao kwa kuwaita dokta...hata wadada wa mapokezi kwa kuwapa heshima tunawaita nurse ili wajiskie vizuri.
 
Hatuna Cha kukushauri zaidi ya kwamba endelea kuwapa elimu wewe ndo mtaalamu serikali imekusimamisha hapo.usichoke mwelekeze Tena na Tena na Tena na Tena na Tena na Tena..mpaka wakati usio na kipimo kwa kuwa unaelewa maradhi hayo huwa yanaathiri vipi afya ya akili.
 
Na wakunga wakija kusimulia vituko vya wake zenu labour mtafurahi! Mengine yabaki kuongelewa kazini tenawkwa sababu maalum.
Samahan dada..unaweza shea ni matukio gan hutokea kwenye hiko chumba...

Kuna mmoja niliwai sikia anasema...et huwa mnakata gogo huko live live wakat wa kupush..ni kwel hili...?

Shea na mengne tafadhali..
 
Sio kwa sky eclat afu kichwani jaribu kujaza mambo mazuri

Speak only that which will bring you honor
 
Samahan dada..unaweza shea ni matukio gan hutokea kwenye hiko chumba...

Kuna mmoja niliwai sikia anasema...et huwa mnakata gogo huko live live wakat wa kupush..ni kwel hili...?

Shea na mengne tafadhali..
Ni kweli đź’Ż
 
@Sky Eclat mtu wa hivi unaweza kumjibu ambaye hamuheshimu hata mama yake aliyemzaa?jf ya Sasa ni kiboko saa zote huwaza mizaha.
 
Back
Top Bottom