"Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

@Sky Eclat mtu wa hivi unaweza kumjibu ambaye hamuheshimu hata mama yake aliyemzaa?jf ya Sasa ni kiboko saa zote huwaza mizaha.
Yaan wew ndege john si wa kushangaa nilichiandika..hiv mim nawew nan ana maandiko ya kishe.nzi humu jukwaan
 
Ok.ndo maana wito wangu NI kwamba yatupasa kubadilika sote maana sote tumeanguka na tunaweza kuinuka.hii ndo point yangu.
 
Unataka jf ipoteze ladha?...huu ujinha ndo watu wanaupenda...unadhan kwann nyimbo za watu/wasanii wanaoelimisha jamii huwa hazina mzuka halaf nyimbo za akina"mwaga maj tucheze kama kambale"
Ndo habar ya mjin
 
Unaweza kuwa sahihi kwa angle flan ila sio kwa asilimia 100 ikumbukwe wengine ni watu wazima mno.sawa nakubali hata makazini boss kusema kmnina NI kawaida ila sio katika mijadala sensitive
 
Unapangia watu sasa...wacha wenye mtandao wafanye kaz yao...last time i checked ni kaz ya mods
 
Ko majibu ya wateja/ wagonjwa ndo unayaleta JF?
Na kesho utuletee sasa..
 
Back
Top Bottom