Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!