Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

eti chadema ife yani mzoga wenu wa chato ulisema hivyo matokeo yake chadema iko imara na yeye ameshaoza anaishiliza kunuka leo wewe msukule unasema chadema itakufa are you an imbecile.
Mission ya CHADEMA na CCM kwa nchi yetu Tanzania imeisha na sasa inatupeleka kupata Katiba Baada ya hapo ndipo tutapata muelekeo mpya wa Taifa letu!!

TUSUBIRI
 
Naandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu walienda chadema tu basi kwangu ni sumu.
wewe hata usipopigia chadema unimpact gani, toka lini chadema ijapigiwa kura na mapunga ya ccm yenye id fake yanayotaka mbowe aandamane kuyapigania huku yamekalisha makalio kwenye keyboard, by the way wewe punga la ccm hakuna anayehitaji kura yako chadema endelea kuzebezwa kwenye makorido ya lumumba mpaka utele ulugwedu.
 
Mimi kura yangu this time naipa CHADEMA

Huyo aliyeandika hapo juu ni muongo, mzandiki na mpiga ramli wa siasa majtaka

Kama CHADEMA ni threat kwa nchi. Ni kwa nini Msajili ama hiyo dola ambayo imemtuma hapa wasikifute chama hiko?

Mimi ninavyofahamu ni kwamba, CCM ndiyo wanaongoza kiharamu baada ya kuchafua uchaguzi mkuu 2020
 
Mshamba Lin mlishinda? Kenge kama nyie mko wachache tena wale washamba!?

Nan aandamane mlivyo waoga wapumbavu kuelewa hamuelewi matoto yenu mpaka mkayapa uraia wa nje ili yajue kingereza ..Baada yaje kuwadanganya wajinga nyie kwamba Yana elimu kumbe yanajua kingereza

We mshamba kavae Yale magwanda yako kama mgambo hayanaga swagga.
 
Mimi kura yangu this time naipa CHADEMA

Huyo aliyeandika hapo juu ni muongo, mzandiki na mpiga ramli wa siasa majtaka

Kama CHADEMA ni threat kwa nchi. Ni kwa nini Msajili ama hiyo dola ambayo imemtuma hapa wasikifute chama hiko?

Mimi ninavyofahamu ni kwamba, CCM ndiyo wanaongoza kiharamu baada ya kuchafua uchaguzi mkuu 2020
Chadema ya nn chama cha ukoo..Ngoja uje kuteseka 😂😂😂
 
Hawa watu ,uzalendo wao ni Zero, Wabinafsi , na Kila kukicha wanazidi kuweka wazi Sura zao Asili .( hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi ,wawe wanapewa Ubunge tu ).

Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja .

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China .

Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu,Uzalendo ,Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake .

Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK , Yusuph , Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification , Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana, ni sawa na CHADEMA TU ,wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!!.

Tunawataka Akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehem Mfugale wengi Akina Deo Filikunjomb wengiii !!.

Yangu ni hayo !!
Hujaongelea facts... Ila ni majungu na chuki kww chadema

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Vingi vipi?
Badilisheni mwenyekiti kigeugeu mlamba asali kwanza ,Tumia tu akili za kuzaliwa utagundua sipo hapa kwa mabishano hata hao ccm siwakubali sijwai kuwapigia kura hata siku moja ila Cdm ni kichefuchefu kabisa.

Mtu kama Abdul nondo anajitambua anaongea point plus kuwa na misimamo ,hao jamaa zako mvi kichwani ila hawanaga misimamo watoto wao wako nje ,then nyie kajamba nane ndo mfanye maandamano.

Hao machalii wanaandaliwa kuja kuwashikia akili na kupata pesa kupitia chama cha ukoo ,nyie hapa dar unavalishwa magwanda ya mgambo Kuna joto kali hivi mnajitambua kweli?
 
Soma tena ulichandika halafu ujitathmini kama hujaandika ujinga
 
Badilisheni mwenyekiti kigeugeu mlamba asali kwanza ,Tumia tu akili za kuzaliwa utagundua sipo hapa kwa mabishano hata hao ccm siwakubali sijwai kuwapigia kura hata siku moja ila Cdm ni kichefuchefu kabisa.

Mtu kama Abdul nondo anajitambua anaongea point plus kuwa na misimamo ,hao jamaa zako mvi kichwani ila hawanaga misimamo watoto wao wako nje ,then nyie kajamba nane ndo mfanye maandamano.

Hao machalii wanaandaliwa kuja kuwashikia akili na kupata pesa kupitia chama cha ukoo ,nyie hapa dar unavalishwa magwanda ya mgambo Kuna joto kali hivi mnajitambua kweli?

..hivi wewe mwenzetu unayeshabikia CCM, kodi, tozo, ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, etc havikuathiri?
 
Hawa watu ,uzalendo wao ni Zero, Wabinafsi , na Kila kukicha wanazidi kuweka wazi Sura zao Asili .( hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi ,wawe wanapewa Ubunge tu ).

Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja .

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China .

Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu,Uzalendo ,Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake .

Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK , Yusuph , Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification , Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana, ni sawa na CHADEMA TU ,wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!!.

Tunawataka Akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehem Mfugale wengi Akina Deo Filikunjomb wengiii !!.

Yangu ni hayo !!
Sasa hii ndiyo nini!?

Hao unaowataka watuongoze unawataja mpaka marehemu. CCM huwa wanajidai wana hazina ya viongozi ila kuwataja inakuwa shida. Umewataja wengi wasiofaa kuliko wanaofaa. Halafu kama Gwajima naye ni hazina ya viongozi .... Basi Tanzania imekwisha. Bora tuendelee na akina Mwigulu.
 
..hivi wewe mwenzetu unayeshabikia Ccm, kodi, tozo, ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, etc havikuathiri?
Uliona wapi nimeshabikia ccm ? Sijawai kuwapigia kura ccm ,Chadema wamenoangusha nishaapa sitokuja kusapot chama lao Tena.

Mwenyekiti kigeugeu kila kona tangu alambe katulia tu.
 
Back
Top Bottom