Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Chaga development manifesto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika upumbavu mtupuHawa watu ,uzalendo wao ni zero, Wabinafsi , na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Sijajiona Smart na hakuna nilipoandika Niko smart nimekueleza Cha kufanya!Unajiona smart kumbe umeandika ujinga Kaa zako kijijini chama cha ovyo hakitokuja kuingia madarakani ng'o.
Wewe MTU mmoja usiposaport chadema wengine watasaport! By the way Kuna Chama kama Chauma, Sau, jahazi asilia, nccr mageuzi, tadea, ACt nk kwanini usijiunge navyo ukaleta Mabadiliko? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi na kila mtu ana haki ya kujiunga na Chama chochote akivitiwa na sera zake!Uliona wapi nimeshabikia ccm ? Sijawai kuwapigia kura ccm ,Chadema wamenoangusha nishaapa sitokuja kusapot chama lao Tena.
Mwenyekiti kigeugeu kila kona tangu alambe katulia tu.
Uliona wapi nimeshabikia ccm ? Sijawai kuwapigia kura ccm ,Chadema wamenoangusha nishaapa sitokuja kusapot chama lao Tena.
Mwenyekiti kigeugeu kila kona tangu alambe katulia tu.
Iko chama kimeniangusha sitaki kabisa kusikia sikulazimishi ila ni maoni yangu tu.Wewe MTU mmoja usiposaport chadema wengine watasaport! By the way Kuna Chama kama Chauma, Say, jahazi asilia, nccr mageuzi, tadea, ACt nk kwanini usijiunge navyo ukaleta Mabadiliko? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi na kila mtu ana haki ya kujiunga na Chama chochote akivitiwa na sera zake!
Kuliko kupoteza muda mwingi kuwananga watu ambao hata kauli y'ako moja hata kujiondoa hakuna impact yoyote jiunge navyo! Pathetic zao la community schools!
I'm smart to know that CCM has many problems but I'm also smart enough to know CHADEMA only is not the solution to those problems
Halina tatizo siasa 100% no madharia na maoni ya mtu kama wachambuzi mpira ..Sijajiona Smart na hakuna nilipoandika Niko smart nimekuelewa Cha kufanya!
Kama unadhani Niko kijijini wanaosoma post zangu wanaweza ku-judge how smart I am!
Chama tawala kinamtaji mkubwa sana na miongoni mwao ni watu wa Aina yako!
Ogopa sana nchi ikiwa na wajinga wengi wanaweza kuchagua Rais!
Hawa watu ,uzalendo wao ni zero, Wabinafsi , na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Nimejikuta na-argue na low IQ people !Duh, CCM imeharibu vijana
Unaamini Ccm ndio muhimu kuliko Tanzania?Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Tuongee ukweli sio ushabiki ni Bora ya CCM kuliko hao jamaa ,kama huamini utakuja kuona miaka hyo inashika Dolla mi ntakuwa sipo...Mwenyekiti wa Ccm iliyoongoza kwa miaka 60+ na nchi imekwama ndio unamuona wa maana?
..Hivi umeridhika na hatua ya maendeleo ambayo nchi yako imepiga? Unaamini nchi iliyopata uhuru miaka 60+ iliyopita inapaswa kuwa kama Tanzania?
Si amesema ni kwa sababu eti sio wazalendo na wanaweza kuuza nchi...??Kwanza kbs.. hayo uliyoshaur CCM uchungu na nchi, uzalendo 🤣🤣🤣 kamwe haiwezekan!! Pili... Ungeelezea kwa kina kwann CDM hawastahili kupewa dhamana ya kuongoza hii nchi.. elezea kwann
Vitu vya kubadili ni..Je, Ccm inayo majibu ya hayo matatizo?
..kumbuka nchi hii imeongozwa na Tanu/Ccm toka tupate uhuru.
Hana usahihi.. amention hapa sio wazalendo kvp?Si amesema ni kwa sababu eti sio wazalendo na wanaweza kuuza nchi...??
Wewe unasemaje? Kweli CHADEMA sio wazalendo na CCM ndiyo wazalendo wa nchi hii...?
Na huyu Carlos The Jackal mleta mada anapendekeza kuwa, Tanzania iwe kama China ya chama kimoja kwa maana ya CCM ndiyo kiwe chama pekee cha siasa na kutawala milele..
Wewe unasemaje? Una maoni gani? Huyu bwana yuko sahihi?
Nilijua nchi inachukuliwa kwa KURA. Kumbe inagawiwa na DOLA?Hawa watu ,uzalendo wao ni zero, Wabinafsi , na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!