Hivi ndugu zako wanatambua kuwa Wana mgonjwa wa akili kwenye familia yao?Hawa watu ,uzalendo wao ni zero, Wabinafsi , na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Yaani ujinga ule wa China uuapply bongo? Umefikiri kifala Sana kudhani kuwa Aina Ile ya utawala wa kibabe wa China ndio ulioleta maendeleo na mapinduzi ya kiuchumi huko kwao!
Ccm imetawala miaka 62 na bado imeshindwa kuweka mifumo ya kiuchumi na mahitaji ya kijamii kwa miaka yote hiyo licha ya nchi kuwa na raslimali za asili nyingi.
Na kwanini usiitazame Taiwan, Singapore na Malaysia ambao umri wao wa Uhuru tunaendana lakini wametuacha mbali kiuchumi?
Chungulia hapo Zambia na Malawi angalau utafunguka hiyo akili iliyovia!
Ccm no jini zee isiyoweza kufikiri Tena ndio maana Lina shishibaby walikuwa wagombea wa kukishauri chama chako na kumteua rais! Mnawaacha wenye akili kubwa kukiongoza chama mnakimbilia kuongozwa na failures! What a pity! Ona aibu kwa bandiko lako hili na usidhani watanzania wa Leo ni wale wa ubwabwa na kofia za ccm! Utashangaa 2025 mtakavyogeuzwa wapinzani kwani hata Dola inakwenda kuwatupa jalalani.