Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Hawa watu ,uzalendo wao ni zero, Wabinafsi , na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
Hivi utajisikiaje Mtu uliyekuwa unamheshimu ghafla ukagundua dish limeyumba?
 
Katiba bora haiombi ama kumbembeleza mtu kuitii. Asiyeitii inamuadhibu.

Kuhusu immunity aliyo nayo rais kwa Sasa. Hili ni moja ya (ubovu) mapungufu makubwa ya katiba tuliyo nayo. Imagine rais yuko juu ya katiba. Yaani anaweza hata kuamuru kundi fulani, kabila fulani, ama wafuasi wa chama fulani wauawe. Halafu katiba yetu unasema hatahojiwa Wala kushitakiwa popote.

Pia rais anaweza kuuza kipande cha ardhi ya nchi hii bila waswasi waowote. Yaani mafano anaweza kuuza mlima Kilimanjaro, anaweza kuiuza mikoa ya kanda ya ziwa au kanda ya pwani ama kanda ya kati ama kanda ya kusini na sifanywe kitu.

Anaweza akaiba uchaguzi (siyo kuiba kura) kama alivyofanya Magufuli na asifanywe kitu
Kuipata hiyo katiba mpya ndio kimbembe, iliyopo sasa katiba mbovu unajua ambao wanamamlaka nayo kubadili unadhani watakubali kirahisi kuibadilisha hapo ndio nafasi ya mtu kama Jiwe inapokuja kwa sababu hawa akina Makamba hawa wezi katu kuibadilisha hata kwa dawa kwa sababu ndio inayowanufaisha wao zaidi kuliko sisimizi raia wakawaida. Yaani ni sawa na umeenda kwa seremala unamwomba akuchongee rungu la kumbondea akikosea kukuchongea sofa. Na ndio maana ni vyema CDM wakae pepembeni CCM ifumuliwe kutokea ndani.
 
Ccm nichama kilicho oza. Hilo halina ubishi, saizi wanawaza kuiba na kurithishana madaraka wazazi kwa watoto. Chedema uchaga unakigharimu. Act ni udini mtupu. Tuvyama twingine ni pet parts
 
Kuipata hiyo katiba mpya ndio kimbembe, iliyopo sasa katiba mbovu unajua ambao wanamamlaka nayo kubadili unadhani watakubali kirahisi kuibadilisha hapo ndio nafasi ya mtu kama Jiwe inapokuja kwa sababu hawa akina Makamba hawa wezi katu kuibadilisha hata kwa dawa kwa sababu ndio inayowanufaisha wao zaidi kuliko sisimizi raia wakawaida. Yaani ni sawa na umeenda kwa seremala unamwomba akuchongee rungu la kumbondea akikosea kukuchongea sofa. Na ndio maana ni vyema CDM wakae pepembeni CCM ifumuliwe kutokea ndani.
Naunga mkono maoni yako kwa 100% isipokuwa natofautiana na wewe hapo kwenye maandishi meusi kwa 100%.
 
Naandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu wakiungana na chadema tu basi kwangu ni sumu.

Bora tuendelee na mgao wa maji na umeme. Na trilioni 91 ya mikopo
 
Hawa watu ,uzalendo wao ni zero, Wabinafsi , na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaan tupate CCM ambayo Ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!

Chadema haipo seriaklini lakini kutwa kuifatilia. Chadema haimo bungeni, halmashauri wala serikalini lakini unaongea utadhani chadema ndio imeleta mgao wa maji na umeme au imekopa trilioni 91. CCM muipe kura halafu lawama kwa chadema.
 
H
Wapinzani hawajielewi..ccm haiminiki tena yani ni vurugu mechi.

Ila kwa ccm hii bora hata jeshi lishike hatamu.

#MaendeleoHayanaChama

Achana na upinzani kama haujielewi baki CCM hujalazimishwa. Mnaipa kura CCM kwa maringo lakini kutwa lawama akwa upinzani kana kwamba inaongoza serikali.
 
Bora ushabikie Yanga kuliko Chadema ya mlevi baba Joyce

Chadema itakutesa sana. Na bado deni limefika trilioni 91 na tozo juu. Huku mgao wa maji kule ajira hakuna. Unaichukia CHADEMA wakati CCM inatawala nchi kwa asilimia 90%
 
Elewa

Muda wa CHADEMA na ccm kuendelea kuwa vyama tumainiwa kwa nchi yetu UMEISHA!

Move hizi unazoona za kulamba asali ni za kuua vyama hivi,vichukiwe na kupoteza imani ili vizaliwe vipya!

Baada ya katiba Mpya vitazaliwa vingine vipya ambavyo vitaambatana na hayo majina uliyoyaandika unayoyataka yashike hatamu!

Jiandae kuchukua kadi mpya za vyama vipya!!

Mungu ibariki nchi YANGU TANZANIA niipendayo!

Naona kampeni ya kulazimisha ndoa ya CCM na CHADEMA. 2020 mliwananga chadema leo mnalazimisha kwamaba wapo pamoja na CCM.
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
True chadema ikishika njee tutakuwa kwenye njaa sana ya kufa mtu .
Tutakuwa somalia wale ni mafisi makitu wabaya we Mungu tuepushie na waovu washetani CHADEMA
 
Upinzani wa nyokwe!! Toka hapa walevi wakubwa Nan awaweke madarakani? ,wapumbavu mko wachache ndo maana hamshindi .

Nchi yenye watu weny akili timamu iongoze na jamii za matapeli walevi una akili kweli?

Siwezi kuongozwa na hao watu bado level zao kama wako smart kama mnavyodanganywa kwa umaskini wenu

Kafie mbele!!

Punguza hasira ndugu, naona mgao wa umeme na maji umekukasirisha sana.
 
Chadema itakabidhiwa nchi hii na wenye nchi wenyewe ambao ni Wananchi .

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Ccm nichama kilicho oza. Hilo halina ubishi, saizi wanawaza kuiba na kurithishana madaraka wazazi kwa watoto. Chedema uchaga unakigharimu. Act ni
u udini mtupu. Tuvyama twingine ni pet parts

Tatizo serikali ilishatugawa wananchi hatuongei kwa kauli, tunachukiana ili kuwafurahisha wanasiasa ndio maana wanakopa deni mpaka linafika trilioni 91, ambalo hao wananchi waliogawanywa watalilipa. Tanzania itabadilika siku wananchi tutakapokuwa kitu kimoja.
 
True chadema ikishika njee tutakuwa kwenye njaa sana ya kufa mtu .
Tutakuwa somalia wale ni mafisi makitu wabaya we Mungu tuepushie na waovu washetani CHADEMA

Punguza hofu, chadema imesema haitashiriki uchaguzi wowote so mtabaki na CCM yenu miaka mia. Unahofu gani?.
 
Mission ya CHADEMA na CCM kwa nchi yetu Tanzania imeisha na sasa inatupeleka kupata Katiba Baada ya hapo ndipo tutapata muelekeo mpya wa Taifa letu!!

TUSUBIRI

Punguza unafiki. Mission ipo kwa ccm yenyewe ndio imeongoza nchi kwa miaka 60, chadema mission yake bado. Acha kulazimisha ndoa ya CCM na CHADEMA kwa uongo wako.
 
Ccm mbovu, chadema/wapinzani mbovu. Kati ya ccm na chadema nani atawale kama hakuna chama bora ccm.
 
Bora jeshi kuliko hao wapinzani mzee .

Mwenzako kakwambia bora jeshi kuliko CCM , wewe umekimbilia bora jeshi kuliko upinzani. Punguza chuki, CCM imeshika madaraka kwa asilimia 98 lakini wewe umekazana na upinzani ambao hawapo kwenye vyombo vya maamuzi.
 
Mshamba Lin mlishinda? Kenge kama nyie mko wachache tena wale washamba!?

Nan aandamane mlivyo waoga wapumbavu kuelewa hamuelewi matoto yenu mpaka mkayapa uraia wa nje ili yajue kingereza ..Baada yaje kuwadanganya wajinga nyie kwamba Yana elimu kumbe yanajua kingereza

We mshamba kavae Yale magwanda yako kama mgambo hayanaga swagga.

Kweli ugumu wa maisha umewapa watu stress.
 
Badilisheni mwenyekiti kigeugeu mlamba asali kwanza ,Tumia tu akili za kuzaliwa utagundua sipo hapa kwa mabishano hata hao ccm siwakubali sijwai kuwapigia kura hata siku moja ila Cdm ni kichefuchefu kabisa.

Mtu kama Abdul nondo anajitambua anaongea point plus kuwa na misimamo ,hao jamaa zako mvi kichwani ila hawanaga misimamo watoto wao wako nje ,then nyie kajamba nane ndo mfanye maandamano.

Hao machalii wanaandaliwa kuja kuwashikia akili na kupata pesa kupitia chama cha ukoo ,nyie hapa dar unavalishwa magwanda ya mgambo Kuna joto kali hivi mnajitambua kweli?

Maandamano ya mwisho CHADEMA yalifanyika lini?. Maana unaongea kana kwamba kila siku maandamano yanaiyishwa.
 
Back
Top Bottom