Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Mkuu, 'Carlos The Jackat', nilikwishakata tamaa na CCM siku nyingi sana, lakini kwa haya yanayojitokeza huko kwenye upinzani, inalazimu kukubaliana nawe, ingawaje hiyo unayoihusisha na uMagufuli, bila kuchuja,..., hapana.
Ipatikane CCM yenye utu, ubinaadam, inayoheshimu sheria na taratibu zinazowekwa, hiyo nitaungana nawe moja kwa moja kuiunga mkono.
Hivi vyama havitofautiana na CCM mbovu.
 
Chadema itabaki kua juuuuu mawinguni mjitie KIDOLE mnuse sis tuna Songa ki digital Yuko wapi mwenda kuzimu wa chato au ulikua hujazaliwa kipindi Chake ? Kapita na Chadema IPO sana
 
Attachments

  • IMG_20221023_153420_845.jpg
    IMG_20221023_153420_845.jpg
    618.3 KB · Views: 1
Punguza unafiki. Mission ipo kwa ccm yenyewe ndio imeongoza nchi kwa miaka 60, chadema mission yake bado. Acha kulazimisha ndoa ya CCM na CHADEMA kwa uongo wako.
Mkuu

Mission ya CHADEMA sio kushika dola!

Bali kuisimamia ccm katika Zama za katiba mbovu kama Sasa!

Kama Wenye mamlaka wangeiandaa kushika dola ingeshashika siku nyingi Sana Baada ya kukubalika KWA wananchi KWA miaka hii ya 2010 Hadi 2020 , lakini KWA kuwa haikuandaliwa ndio maana hata ilipoungwa mkono Sana BADO haikushika dola!!

Mf;-

Kama kikwete asingepitishwa na ccm kuwa mgombea urais akahamia CHADEMA angeshindia coz yeye alikuwa chaguo la dola KWA WAKATI uke na lazima angeshinda!!!

HIVYO basi Baada ya katiba Mpya muelekeo mpya itapatikana Ili kuzika nyakati hizi za giza Totoro!!

Jpm alikuja ku expose unafiki wa CHADEMA pale ambapo wakishirikiana na ccm ya awamu ya nne dhidi ya serikali ya JPM!

Hivyo vyama hivi viwili vipo hatua ya Mwisho kufa ILI wazaliwe Watoto WAO ambao kimoja wapo Ndio kitashika dola!!!
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
kati ya watanzania hawajitambuwi na wajinga ni mtoa chapisho hili
 
Kwanza kabisa.. hayo uliyoshaur CCM uchungu na nchi, uzalendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamwe haiwezekan!! Pili... Ungeelezea kwa kina kwann CDM hawastahili kupewa dhamana ya kuongoza hii nchi.. elezea kwanini
Hawanahoja zaidi ya kukamilisha kazi post anazotakiwa kuandika kwa siku ii kupata musosi. Post nyingi sana za kufanana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu wakiungana na chadema tu basi kwangu ni sumu.
Tatizo lako wewe una elimu ya ahera mda wote umekumbatia udini
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo suluhisho Kwa sasa.

Kama CDM Bado haiaminiki, yatafanyika yafuatayo;

CCM iuawe, Ipatikane KATIBA mpya, Katiba hiyo ije na CHAMA kipya.

Hao CREAM waliopo CCM wahamie BOTI mpya, waliosalia WAZAMISHWE.

Chama kipya kipewe Dola kikishisrikiana na CDM kama Chama mbadala kuleta HOJA kinzani Kwa Maslahi ya Taifa.

Ameeeen
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
Umetumwa?
 
Mtu anayeandika "icho" badala ya "hiko" huyo ni shoga mzoefu.
Mjadala ufungwe kwani hauna uhalali wa kuendelea kuwepo kwa kuwa umeletwa na mpenda kinyume na mau.bile.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Chama Hiko" pia sio kiswahili fasaha.

Ni "CHAMA HICHO", mjadala na HOJA lazima zijadiliwe na tuvumiliane Kwa lugha za staha.

Ameeeen.
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
Naunga mkono hoja. Hawa walamba asali wa saccos wakishika nchi itakuwa ni balaa,hawataweza kukemea chochote kibaya kutoka kwa hayo mabeberu. Mtawatambua kwa matunda yao.
 
Tangia wapi umewahi Ina CCM wakawa wazalendo....Wote CCM na CHADEMA Ni wasakatonge tu
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu Kinana awe na element za CHADEMA au Chadema kuwa na element za Kinana??Hivi kweli huwa mnawashwa nini kuropoka vitu vya ajabu,hata kama huipendi Chadema acha kulinganisha Chadema na upambavu wako.
 
Back
Top Bottom