Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajiona smart kumbe umeandika ujinga Kaa zako kijijini chama cha ovyo hakitokuja kuingia madarakani ng'o.
Uliona wapi nimeshabikia ccm ? Sijawai kuwapigia kura ccm ,Chadema wamenoangusha nishaapa sitokuja kusapot chama lao Tena.
Mwenyekiti kigeugeu kila kona tangu alambe katulia tu.
Ccm mbovu, chadema/wapinzani mbovu. Kati ya ccm na chadema nani atawale kama hakuna chama bora ccm.
Creche at work.....Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Ninerudia kusoma heading na comments nimegundua jambo moja.Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Chaga development manifesto
Akili za hovyo hizi, nchi inatawaliwa na wapuuzi wanaowaza ushindi wa mezani, akili zenu zipo makalioni nyieSio kweli dola hutumika kuhakikisha ushindi wa mezani kwa hiyo mimi namuunga mkono mtoa mada tupate mtu ambaye anatoka huko huko CCM lakini mwenye maslahi ya nchi kama alivyokuwa Jiwe. Ila na yeye asife. Ingawa nilimkubali Jiwe lakini 2015 alishinda Mmasai.
Tuongee ukweli sio ushabiki ni Bora ya CCM kuliko hao jamaa ,kama huamini utakuja kuona miaka hyo inashika Dolla mi ntakuwa sipo.
Ni kwamba ivyo vyama ya upinzani sioni kilicho tayar kushika Dolla kifupi havina quality ni vikundi tu ,Wana migogoro kibao when you foresee an inner source of their conflicts ni maslahi ya watu binafsi.
Si unaona wale wabunge sijui 19 wamesaliti chama 😂😂😂.
Unaonaje ukiendelea kutoa hekima, busara na misisimko kule kwenye jukwaa pendwa. Halafu huku uwaachie akina magonjwa mtambuka, elitwege na usajili mpya mwashambwa wahangaike na zigo lao la CCM.Sawa,bas CCM mbele kwa mbele
Jitahidi kuelimika. Dawa sio Chadema, CCM, mtu fulani wala chama chochote cha siasa.Dawa yake sio Chadema Bali Katiba bora
Sasa tufanyaje kama wanaleta sifa za kijinga wakati wananchi tunaumia(pia sipangiwi cha kufanya mkuu😉)Unaonaje ukiendelea kutoa hekima, busara na misisimko kule kwenye jukwaa pendwa. Halafu huku uwaachie akina magonjwa mtambuka, elitwege na usajili mpya mwashambwa wahangaike na zigo lao la CCM.
Wamejaa tamaatamaa,full kushibisha matumbo yao😏Halafu ka mijinga vile inavyogombea madaraka maviongoz ya Africa utadhan haitokuja Kufa..shiiit😏😏😏
Very stupid!Kuna id zingine huwa nadhani ni viumbe wanaojitambua kumbe ni kuku tu.Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Tena akili mfu kabisa. tazama Zambia, Malawi, Malawi, hawakukataa upinzani, kuna mabadiliko makubwa sana kimaendeleo. hawa wahafidhina wa rz shida tupuUzi wa mpumbavu