Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Ukianza jitegemea utaelewa kwa Sasa huna makosa
Nina familia na watu kibao wananitegemea ,hoja yangu👉 Tunataka chama cha maana kitakachounganisha watu wote sio kikundi cha watu weusi wanaojifanya wamarekani.

Sijawahi kuipigia CCM kura wala kushiriki uchaguzi weny vinasaba vya ovyo ,ila kusapot chadema hapana!!
 
Mawazo ya mjinga aliyekata tamaa.
 
Nasikitika kusema utakufa utaiacha chadema bado ipo.Na hao wenye dola nao watakufa wataiacha chadema ipo.Hatimaye najua unajua kitakachofuata.Wakati wewe unaoza kaburini chadema ndiyo itakayokua inaongoza nchi.usijipe umuhimu usionao nchi hii wakati huwezi kubadilisha ata nukta moja ya majira.Ni swala la muda tu.
 
Sasa kwani wewe ni nani nchi hii?.mbona unajipa umuhim usio na maana.Aliyekwambia kura yako moja ndio inayokipa chama madaraka ni nani.Uchaguzi ni zaidi ya kura.
 
Unapinga nn? ndo ukweli..Kazae magwanda ya mgambo kwanza .

Mtashindaje chama hakina watu ?
Jibu kulingana na thread inavyosema! Acha kukaza fuvu kwa ushabiki wa vyama!! Niliomba jibu sahihi kulingana na hoja hapo juu sasa ww unaleta ushabiki. Soma thread inavyosema then rudi uje kujitutumua kujibu hapa!!
 
Jukum la kupigania haki nilakila mwananchi.hakuna ambaye kazaliwa na nembo yakupigania haki kwa wengine.Kwahiyo tofautisha majukumu ya vyama vya siasa, haki na shughuli binafsi za watu.Ata wewe unawajibu wakupigania haki badala yakukaa kusubiri watu wakupiganie uku ukilalamika uozo wa chama kilicho madarakani.Unadhani nani ataacha kupambania familia yake aje kukupambani.
 
Tena akili mfu kabisa. tazama Zambia, Malawi, Malawi, hawakukataa upinzani, kuna mabadiliko makubwa sana kimaendeleo. hawa wahafidhina wa rz shida tupu
Hii nchi wajinga ni wengi.Nyerere hakukosea kuuweka ujinga kama moja ya tatizo nchi hii kwasababu alijua kiasi cha ujinga kilichopo.na bado kinazidi kuongeza badala ya kupungua.
 
Hao chadema wamewahi kuongoza lini ili uwafananishe na ccm iliyoongoza toka uhuru na imeshindwa.
 
Sasa kwani wewe ni nani nchi hii?.mbona unajipa umuhim usio na maana.Aliyekwambia kura yako moja ndio inayokipa chama madaraka ni nani.Uchaguzi ni zaidi ya kura.
Nyie ni watu gani? Mbona hamjawahi kushinda !!

Hamtokuja kushinda mko wachache sana.
 
Dola huwa inachukuliwa; yenyewe huwa haina uwezo wa kujipa kwa mtu au taasisi
 
Jibu kulingana na thread inavyosema! Acha kukaza fuvu kwa ushabiki wa vyama!! Niliomba jibu sahihi kulingana na hoja hapo juu sasa ww unaleta ushabiki. Soma thread inavyosema then rudi uje kujitutumua kujibu hapa!!
Wako wachache ni minority hawawezi kuongoza. Je unahitaji kuelezewa zaidi?
 
Naam nimekupata hayo maneno ya mwisho"nani ataacha familia yake aje akupambanie".

mimi siwezi kuacha familia yangu nikapambania maslahi ya mtu aise, tena mtu ambae keshainurusu filia yake ipo pahala salama imekaa imetulia.
mwisho wa siku kilamtu apambane na hali yake.
 
"Mkuu uzalendo wa CCM uko wapi mpaka sasa?"

Na huu ubinafsi wenu umefanya kila mtu ktk Nchi hii sasa anawaza akipata nafasi yoyote ni kuiba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…