OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
We kweli kimeo.sasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
Na daktari wa uchumi Madelu anasemaje?Kwani watanzania wanasemaje wao
Aseee [emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
Are u serious kweli?
Nyuma ilikuwaje?
Ule mwingi umefika pomoni sasa unamwagikaView attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
View attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Ukipandisha kodi bila utaratibu athari moja kubwa ni mfumuko wa bei wizara husika hawana elimu nzuri katika mambo ya uchumi ,pia mipango yao inalenga muda mfupi na haina maono ya muda mrefu tutaona bidhaa nyingi zikiendelea kufumuka bei kutokana na watu kujitukuza kuwa wao ni wabobezi katika uchumi,
Yote kwa yote husema kichwa cha mbuzi hakiskiii husikia kikiwa kwenye chungu
Na badoView attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Kwani tokea wewe upate ufahamu wako wa kuvuka barabara lini umewahi kuona imeshuka ?View attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Swali zuri. Akijibu, ni-tag. Dola-TZS imekuwa kiwango hicho alichosema tangu Magufuli alipofunga maduka yale ya mwanzo ya kubadilisha pesa. Haipandi, haishuki. Watu wanapenda drama sana. Ama hakuwepo Tanzania kwa muda mrefu, amerudi hivi karibuni tu?
Sasa hivi baadhi ya familia zimeanza kula mlo mmoja tu kwa siku , huku familia nyingine za Manzese maeneo ya kwa Mfuga Mbwa zikisonga Ugali Mkubwa mboga kila mtu ajitegemee , kiukweli watu wanaishi maisha duni mno kwa sasa tangu awamu ya 6 iingie , mama kishashindwa haraka sana !View attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Nasubr kwa hamu jibu lake.Jibu swali - kabla ya kuwa hiyo unayoisema, ilikuwaje?