Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi

20210826_141312104466.jpg
 
Ukipandisha kodi bila utaratibu athari moja kubwa ni mfumuko wa bei wizara husika hawana elimu nzuri katika mambo ya uchumi ,pia mipango yao inalenga muda mfupi na haina maono ya muda mrefu tutaona bidhaa nyingi zikiendelea kufumuka bei kutokana na watu kujitukuza kuwa wao ni wabobezi katika uchumi,
Yote kwa yote husema kichwa cha mbuzi hakiskiii husikia kikiwa kwenye chungu
 
Swali zuri. Akijibu, ni-tag. Dola-TZS imekuwa kiwango hicho alichosema tangu Magufuli alipofunga maduka yale ya mwanzo ya kubadilisha pesa. Haipandi, haishuki. Watu wanapenda drama sana. Ama hakuwepo Tanzania kwa muda mrefu, amerudi hivi karibuni tu?
Aseee [emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]

Are u serious kweli?

Nyuma ilikuwaje?
 
Ukipandisha kodi bila utaratibu athari moja kubwa ni mfumuko wa bei wizara husika hawana elimu nzuri katika mambo ya uchumi ,pia mipango yao inalenga muda mfupi na haina maono ya muda mrefu tutaona bidhaa nyingi zikiendelea kufumuka bei kutokana na watu kujitukuza kuwa wao ni wabobezi katika uchumi,
Yote kwa yote husema kichwa cha mbuzi hakiskiii husikia kikiwa kwenye chungu

IMG_0442.jpg
 
Ikifika 4000 naombeni mnitag niwatafute polic kama Hamza
 
View attachment 1909311

Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Kwani tokea wewe upate ufahamu wako wa kuvuka barabara lini umewahi kuona imeshuka ?
 
Swali zuri. Akijibu, ni-tag. Dola-TZS imekuwa kiwango hicho alichosema tangu Magufuli alipofunga maduka yale ya mwanzo ya kubadilisha pesa. Haipandi, haishuki. Watu wanapenda drama sana. Ama hakuwepo Tanzania kwa muda mrefu, amerudi hivi karibuni tu?

IMG_0443.jpg
 
View attachment 1909311

Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Sasa hivi baadhi ya familia zimeanza kula mlo mmoja tu kwa siku , huku familia nyingine za Manzese maeneo ya kwa Mfuga Mbwa zikisonga Ugali Mkubwa mboga kila mtu ajitegemee , kiukweli watu wanaishi maisha duni mno kwa sasa tangu awamu ya 6 iingie , mama kishashindwa haraka sana !

FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Back
Top Bottom