DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Thank you brother. Tunaagiza hadi vitu ambavyo ilitakiwa vizalishwe hapa. Hapo ni lazima hii exchange currency ikate huko sokoni.



Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwamba hapa alichemka kwakweli.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na utashi wake na ujuzi na weledi wake, kuna watu hadi leo wanatumiana barua kupitia njia ya posta
 
Kwann China isitoe tamko bidhaa zake zinunuliwe kwa yuan badala ya US

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na wao wanahitaji dollar ili kupata faida na pia kuwa na reserve kubwa ya dollar inayowasaidia katika international transactions.

Ila china wamewekeza sana katika kununua gold. Kwasababu soon gold itaamza kureplace dollar kwenye international transactions. Sisi tunauza gold yetu kwa matani.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ukilipia kitu amazon kupitia Mpesa visa card itabidi Voda wawapelekee Cash amazon? 😄😄😄😄😄😄
ukitumia masterCard/visaCard ya Voda, je unajua miamala inapitia BancABC ?
Voda wanadeposit funds ( in USD ) kwa hiyo benki ambazo weye ndiyo unanunulia Amazon, local currency yako inaenda Voda
 
Wakati sisi tunauza za kwetu kwa bei rahisi kabisa sawa na bure. Hii inchi ina watu wanajipa nafasi ya uongozi ila ni majinga aisee.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Possible kkwa india ?
 
Japo Watalii Kwa mwaka ulioishia walifika 1.45Milions ila hao ni kidogo sana..

Mwaka huu wanatarajiwa kugika.mil.2 Kwa mara ya kwanza ila Bil.11 ni hela kiduchu sana ya kuleta matokeo makubwa kwenye Utalii?

Egypt huko wanaweka matilioninikinwafikishe Watalii mil.15 by 2025.
Ile ya Peeeeeter
 
Tangu muda mrefu lakini nimeona pale unaponunua bidhaa mtandaoni dolla moja ni sawa 3500

Sasa kama na huko maduka ya kubadilishia pesa dolla imefikia huko nadhani sasa tunaenda Zimbabwe
Acha uongo mkuu.
Wenzio kila siku tunafanya manunuzi online. Dollar vs shilling bado haijafika huko. Mfano kwa leo 1USD = 2,360.0002 TSH

Kitu ambacho kinaumiza transaction fee za mabenki ni kubwa mfano Equity wana kata 6% ya muamala unaotaka kufanya.
 
Kinachouma zaidi ni kuwa Rais analitambua hilo na hajalifanyia kazi maana lazima Waziri wa Fedha ambaye ni Makamu alihusika
Rais tunamashaka sana na washauri wake wanamwambia nini na at the same time elimu yake juu ya uchumi ni questionable.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Bank kutoa dola zako wanazingua
 
Unaweka bilioni 7 ili kuzalisha bilioni 11 za kupika?

Hata hivyo boss, kweli maeneo ya utalii tulionao, tukazalishe bilioni 11?

Kuna visiwa vimetuacha mbali mno kiuchumi, mno! Wanategemea utalii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…