DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata e payment inahitaji bank husika iwe na dollar
Humu ndani kuna changamoto sana ya elimu ya uchumi nadhani serikali inabidi watazame mitaala inafundisha nini especially masomo ya kibiashara na uchumi maana watoto ni vilaza balaa humu ndani.

Sasa huyo anahisi hela huwa ukipeleka benki wao benki kukubadilishia kuna kadude wanabonyeza.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Inahitajika nchi zifanye biashara ili fedha za nchi husika zipatikane.

Tukinunua kwa Yuan maana yake itabidi tupate Yuan zakutosha kutokana na China kuagiza kwetu bidhaa nyingi kwa Yuan, na yeye anunue kwetu kwa Tzs
Me nimeona hata uvivu kumuelekeza maana nikajiuliza watu wanachukuliaje maswala ya FOREX

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Unaweka bilioni 7 ili kuzalisha bilioni 11 za kupika?

Hata hivyo boss, kweli maeneo ya utalii tulionao, tukazalishe bilioni 11?

Kuna visiwa vimetuacha mbali mno kiuchumi, mno! Wanategemea utalii tu.
Hizo figures umeweka ni za nini hasa?

Kwani kuwa na Mali ndio kuwa Tajiri? Ili uwe Tajiri ni kipengele kingine,ingekuwa simple hivyo Africa ndio ingekuwa Tajiri kuliko Bara lolote maana tunaongoza Kwa Mali.
 
Ndio aliekuokoa kwa corona maana angesema ufungiwe wewe na ukoo wako wote mngekufa kwa njaa!

Coment hii kamuoneshe hadi b mkubwa wako
jinga wewe mbona hiyo corona ndio ilimuua alisaidia nini sasa misukuma huwaga haina akili kabisa kwendraaaaaaaaaaaaaa, unanifananisha mimi na mavitu ya hovyo.
 
Return ya ile investment iliyofanyika mpaka sasa ni kiasi gani?

Au ndo ishakuwa siri na makusanyo ya Tozo kwa manufaa ya msoga gang?
Elimu ndogo huyo ndio maana nimeona nisimjibu maana tutagombana tu hapa. Muda mwingine ni kujifanya hujui kitu ili mjuaji apite hivi [emoji117]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Utalii wa nyoko.... [emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Utalii wa nyoko.... [emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sasa unachukia Nchi inapofanikiwa 😁😁😁😁

Mlianza lini kusema ooh sijui hafiko 2023 mara ooh sijui hafaulu kile na kile na ujinga mwingine kama huo..

Sasa baba Kwa taarifa Yako Mwaka huu wa 2023 tunataka 1.4 mln Hadi 2Mln kama hutaki kajinuonge tuu .
 
Tuelezee ndugu mtaalamu inafanyaje kazi. Tupe na tofauti ya E-payment na soko la kawaida.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Shida watanzania huwa mnajiamini sana katika ujinga ndo maana huyo mjinga .wenzio anakwambia ameona uvivu kunielewesha nawewe unaejifanya unajua uchumi kanjanja.

Nenda kasome masuala ya digital/electronically money conversion vs hard cash conversion kisha urudi hapa.

Nikuulize tu nikitaka fanya online shopping ya $6000 benki haina dola itakataa kwenda? Hahahahahaha
 
Africa ndio ingekuwa Tajiri kuliko Bara lolote maana tunaongoza Kwa Mali.
Tunaongoza kwa ulafi pia! Uibe trilioni 2, unazifanyia nini? Halafu iweje?

Unadhani mabara mengine hayakuwa na huo utajiri tulionao sisi?

Wametumia akili, udikteta na kutozingatia haki za binadamu wala demokrasia, wamesonga mbele, mbali sana!
 
bei ipande mara ngapi? waache watanzania wakalie kuzungumzua mipira tu hali inazidi kuwa mbaya
 
nawashangaa sana watanzania kila unapotoa hoja ya matatizo ya nchi wanatokea walamba asali kama sio wao baba zao wanakuambia hali hii ya matatizo ni ulimwengu wote stupid, nenda dubai kama utaambiwa hakuna dollar, dollar zimejaa tatizo ni ufisadi ndio tatizo hata kenya ruto anakuambia alivyoingia urais kenyatta kabeba pesa yote benk ipo empty
 
Zimekuwa ngumu mno. Yani wana kupa 1000 tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…