Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Musisahau nafasi ya korosho kwenye kuingiza pesa za kigeni Kati ya mwishoni kwa October Hadi December. Hadi sasa korosho imeregulate uchumi wa nchi. Kumbuka korosho imeuzwa nje ya nchi kwa tena kwa Dollar.
 
Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
"Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana" KKumbuka hili alilifanya Ali hassan Mwinyi wakati akiwa Rais. Kwa bahati mbaya Mkapa akalifuta. Huenda hili likawa endelevu.
Biashara tuwaachie waliozaliwa kwenye biashara.
 
Mkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
Export value haijazongezeka sana compared na mwaka Jana, umeandika uongo.

Korosho imeongezeka mara mbili? Tumewahi kuwa na uzalishaji wa korosho zaidi ya sasa why haikushusha thamani ya dollar?
 
baada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2375 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze
Mama ameenda G20 na Mwakani ni Uchaguzi

Makofi kwa mama
 
Export value haijazongezeka sana compared na mwaka Jana, umeandika uongo.

Korosho imeongezeka mara mbili? Tumewahi kuwa na uzalishaji wa korosho zaidi ya sasa why haikushusha thamani ya dollar?
Afadhali umemchana huyo chawa anakuja na maneno leja leja bila kufikiri
 
Ni tzs kwa karibia currency note kwa nchi tunazofanya nazo biashara angalia tzs versus ksh au tzs versus ugx au tzs versus Rwanda na kadhalika tzs imegain sana kuanzia oktoba haiwez kuwa ni USA interest tu ni pamoja na exports
Haya mambo ya currency si ya kubishana sana, sababu baada ya miezi miwili mitatu unakuta inarudi pale ilipo inaflactuate. Hawa wakenya mwezi ujao watakuja na chart kuonyesha ilivyoshuka tena

January mwaka huu shillingi ya Kenya ilikua chini sana kwa Tshs(1 kwa 15) lakini ikaanza kupanda ghafla hadi 21. Sasa hivi ipo kwenye 20. So wala usiweke msuli Sana
 
Mkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
BRICS
 
Attachments

  • IMG-20241211-WA0009.jpg
    IMG-20241211-WA0009.jpg
    201.6 KB · Views: 4
Kwanza tusaidie kwanzi tzs imepanda dhidi ya kenya
Hapa ni oktoba

View: https://x.com/CBKKenya/status/1841022580699931106?t=F3viPTfXrnEy3l8ckmyMgQ&s=19
Na huku usd ikizid kupanda thamani
Post thread
dhidi ya ksh

View: https://x.com/CBKKenya/status/1866739191348080731?t=cTzznefZKqDq58Jo0AFJsg&s=19
Au na kesha kashusha interest rate toka 21 mpaka 19 kwa ksh
Kwanini ksh inazidi kushuka wakati tanzania inapanda

View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1846786936842731573?t=CDTOXzvzQ6Gklb_T4RwJsA&s=19
Oktoba

View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1866741759155507524?t=99TNzbO4Vt7Pl4uFLWf47A&s=19
December
Unaweza kutueleza kwanini tzs shilling imepanda sana kuzid ksh

Usd inapanda thamani dhidi ya kenya.?
Mwaka jana 2023 Usd 1 ilikua sawa na kshs 162. Sasa hivi Usd 1 sawa na kshs 129. Hapo imepanda au imeshuka?

Huu mporomoko wa dollar dhidi ya shillingi kwa Kenya wako nao mwaka mzima. Mwaka mzima dollar inaporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya. Tuache kuandika uongo
 
Export value haijazongezeka sana compared na mwaka Jana, umeandika uongo.

Korosho imeongezeka mara mbili? Tumewahi kuwa na uzalishaji wa korosho zaidi ya sasa why haikushusha thamani ya dollar?
Clear Selection
NameTotal exports of goods
Description-
UnitMillion of USD
Last UpdateFriday, 16 August 2024
SourceBank of Tanzania
calendar yearTotal exports of goods
Copy Excel CSV
calendar yearTotal exports of goods ( (Million of USD) )
20174,510.756174
20184,292.715646
20195,377.596942
20206,371.715784
20216,756.241874
20227,223.821879
20237,696.557689

Export Performance:

  • Total Exports: Tanzania's exports of goods and services surged to USD 15,064.6 million in the year ending August 2024, up from USD 13,290.1 million in the same period of the previous year, representing an increase of approximately 13.4%.
  • Breakdown of Exports:
    • Traditional Exports: These increased to USD 1,099.9 million, up from USD 807.9 millionin the previous year. The increase was largely attributed to higher exports of:
      • Tobacco and cashew nuts, driven by both volume and price improvements.
    • Non-Traditional Exports: Amounted to USD 6,568.3 million, compared to USD 6,349.8 millionpreviously, largely driven by:
      • Gold exports: Increased by 8.2% to USD 3,189.4 million, reflecting strong global demand and favorable prices.
      • Horticultural products: Saw a significant rise of 35.3%, reaching USD 454.4 million, driven by increased shipments of edible vegetables.
  • Monthly Export Figures: In August 2024, exports of goods totaled USD 934.3 million, compared to USD 785.3 million in August 2023, showing growth year-on-year.

2. Import Performance:

  • Total Imports: Imports increased to USD 16,427.5 million for the year ending August 2024, up from USD 16,327.7 million the previous year, indicating a slight increase of about 0.6%.
  • Breakdown of Imports:
    • Capital Goods: Imports of capital goods rose to USD 2,912.4 million, a marginal increase from the previous year, with significant purchases of machinery and transport equipment.
    • Intermediate Goods: These accounted for USD 9,860.0 million, with notable increases in:
      • Fuel and lubricants: Totaled USD 3,090.1 million, highlighting the ongoing demand for energy imports.
      • Iron and steel: Imports of these materials surged, reflecting ongoing infrastructure projects and construction activities.
  • Monthly Import Figures: In August 2024, goods imports amounted to USD 1,468.3 million, compared to USD 1,163.9 million in August 2023, indicating robust import
 
Mkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
Maamuzi ya kununua gold yalifanyika hata mwaka Jana 2023. Tena tulinunua zaidi hara ya Sasa. Umeandika uongo tena
 
Usd inapanda thamani dhidi ya kenya.?
Mwaka jana 2023 Usd 1 ilikua sawa na kshs 162. Sasa hivi Usd 1 sawa na kshs 129. Hapo imepanda au imeshuka?

Huu mporomoko wa dollar dhidi ya shillingi kwa Kenya wako nao mwaka mzima. Mwaka mzima dollar inaporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya. Tuache kuandika uongo
Nimechukua data za miezi Sita maana hiyo interest rate marekani kashusha mwakaa huu sio mwaka jana
 
Maamuzi ya kununua gold yalifanyika hata mwaka Jana 2023. Tena tulinunua zaidi hara ya Sasa. Umeandika uongo tena
Mkuu ya kweli hayo unatangazoa Bot la mwaka 2023 likieleza wanunuzi wote kulazimika kuuza 20 ya mzigo wao Bot? Maana hilo tangazo limetoka september kama sikosei
 
Hili tangazo ni la mwaka 2023?
Maelezo hayo ya benki hiyo yanakuja ikiwa ni siku nne tangu Tume ya Madini itangaze kuwa wachimbaji wakubwa na wauzaji wa dhahabu wanaotaka kuuza nje ya nchi wanatakiwa kutenga asilimia 20 ya madini hayo kwa ajili ya kuiuzia BoT.

Uamuzi huo ulifanywa na Serikali baada ya kufanyika maboresho katika Sheria ya Madini kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Fedha ya mwaka 2024/25.
 
Clear Selection
NameTotal exports of goods
Description-
UnitMillion of USD
Last UpdateFriday, 16 August 2024
SourceBank of Tanzania
calendar yearTotal exports of goods
Copy Excel CSV
calendar yearTotal exports of goods ( (Million of USD) )
20174,510.756174
20184,292.715646
20195,377.596942
20206,371.715784
20216,756.241874
20227,223.821879
20237,696.557689

Export Performance:

  • Total Exports: Tanzania's exports of goods and services surged to USD 15,064.6 million in the year ending August 2024, up from USD 13,290.1 million in the same period of the previous year, representing an increase of approximately 13.4%.
  • Breakdown of Exports:
    • Traditional Exports: These increased to USD 1,099.9 million, up from USD 807.9 millionin the previous year. The increase was largely attributed to higher exports of:
      • Tobacco and cashew nuts, driven by both volume and price improvements.
    • Non-Traditional Exports: Amounted to USD 6,568.3 million, compared to USD 6,349.8 millionpreviously, largely driven by:
      • Gold exports: Increased by 8.2% to USD 3,189.4 million, reflecting strong global demand and favorable prices.
      • Horticultural products: Saw a significant rise of 35.3%, reaching USD 454.4 million, driven by increased shipments of edible vegetables.
  • Monthly Export Figures: In August 2024, exports of goods totaled USD 934.3 million, compared to USD 785.3 million in August 2023, showing growth year-on-year.

2. Import Performance:

  • Total Imports: Imports increased to USD 16,427.5 million for the year ending August 2024, up from USD 16,327.7 million the previous year, indicating a slight increase of about 0.6%.
  • Breakdown of Imports:
    • Capital Goods: Imports of capital goods rose to USD 2,912.4 million, a marginal increase from the previous year, with significant purchases of machinery and transport equipment.
    • Intermediate Goods: These accounted for USD 9,860.0 million, with notable increases in:
      • Fuel and lubricants: Totaled USD 3,090.1 million, highlighting the ongoing demand for energy imports.
      • Iron and steel: Imports of these materials surged, reflecting ongoing infrastructure projects and construction activities.
  • Monthly Import Figures: In August 2024, goods imports amounted to USD 1,468.3 million, compared to USD 1,163.9 million in August 2023, indicating robust import
Hiki ulichoweka umekielewa kweli? Sijui umetoa wapi. Soma hiyo table na soma maelezo hapo mwanzo mwaka huu 15,000mil + from previous year 13,000mil+
Lakini kwenye table 2023 inaonyesha ni 7,000mil+

Anyway, kwa trend ya export hili anguko lingekuwepo toka miaka na miaka maana export huwa haisimami bali huongezeka kila mwaka(covid year excluded)
Screenshot_20241211-155622_1.jpg
 
Nimechukua data za miezi Sita maana hiyo interest rate marekani kashusha mwakaa huu sio mwaka jana
Hata kwenye miezi 6, dollar ilikua inaanguka dhidi ya kenya. Angalia tena. Wala hili hakihitaji propaganda na uongo. Dollar kwa mwaka mzima huko Kenya imekua ikiporomoka
 
Mkuu ya kweli hayo unatangazoa Bot la mwaka 2023 likieleza wanunuzi wote kulazimika kuuza 20 ya mzigo wao Bot? Maana hilo tangazo limetoka september kama sikosei
Hii comment sijaielewa. Nimekuambia mwaka Jana tulinunua pia gold, why dollar haikushuka? Hapa jibu straight maana ulichojibu sijaelewa
 
Back
Top Bottom