Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao wanaonunua mtaani usd kwa 2610 wataacha kununua maana benki gharama ni kidogo kuliko mtaaniHabari njema kwetu
"Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana" KKumbuka hili alilifanya Ali hassan Mwinyi wakati akiwa Rais. Kwa bahati mbaya Mkapa akalifuta. Huenda hili likawa endelevu.Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Export value haijazongezeka sana compared na mwaka Jana, umeandika uongo.Mkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
Mama ameenda G20 na Mwakani ni Uchaguzibaada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2375 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze
Afadhali umemchana huyo chawa anakuja na maneno leja leja bila kufikiriExport value haijazongezeka sana compared na mwaka Jana, umeandika uongo.
Korosho imeongezeka mara mbili? Tumewahi kuwa na uzalishaji wa korosho zaidi ya sasa why haikushusha thamani ya dollar?
Haya mambo ya currency si ya kubishana sana, sababu baada ya miezi miwili mitatu unakuta inarudi pale ilipo inaflactuate. Hawa wakenya mwezi ujao watakuja na chart kuonyesha ilivyoshuka tenaNi tzs kwa karibia currency note kwa nchi tunazofanya nazo biashara angalia tzs versus ksh au tzs versus ugx au tzs versus Rwanda na kadhalika tzs imegain sana kuanzia oktoba haiwez kuwa ni USA interest tu ni pamoja na exports
BRICSMkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
Kwanza tusaidie kwanzi tzs imepanda dhidi ya kenya
Hapa ni oktoba
View: https://x.com/CBKKenya/status/1841022580699931106?t=F3viPTfXrnEy3l8ckmyMgQ&s=19
Na huku usd ikizid kupanda thamani
Post thread
dhidi ya ksh
View: https://x.com/CBKKenya/status/1866739191348080731?t=cTzznefZKqDq58Jo0AFJsg&s=19
Au na kesha kashusha interest rate toka 21 mpaka 19 kwa ksh
Kwanini ksh inazidi kushuka wakati tanzania inapanda
View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1846786936842731573?t=CDTOXzvzQ6Gklb_T4RwJsA&s=19
Oktoba
View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1866741759155507524?t=99TNzbO4Vt7Pl4uFLWf47A&s=19
December
Unaweza kutueleza kwanini tzs shilling imepanda sana kuzid ksh
Clear SelectionExport value haijazongezeka sana compared na mwaka Jana, umeandika uongo.
Korosho imeongezeka mara mbili? Tumewahi kuwa na uzalishaji wa korosho zaidi ya sasa why haikushusha thamani ya dollar?
| Name | Total exports of goods |
|---|---|
| Description | - |
| Unit | Million of USD |
| Last Update | Friday, 16 August 2024 |
| Source | Bank of Tanzania |
| calendar year | Total exports of goods |
| calendar year | Total exports of goods ( (Million of USD) ) |
|---|---|
| 2017 | 4,510.756174 |
| 2018 | 4,292.715646 |
| 2019 | 5,377.596942 |
| 2020 | 6,371.715784 |
| 2021 | 6,756.241874 |
| 2022 | 7,223.821879 |
| 2023 | 7,696.557689 |
Isikutishe mkuu, Tanzania inauza nini marekani? Ungesema India au China sawaBRICS
Maamuzi ya kununua gold yalifanyika hata mwaka Jana 2023. Tena tulinunua zaidi hara ya Sasa. Umeandika uongo tenaMkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
Nimechukua data za miezi Sita maana hiyo interest rate marekani kashusha mwakaa huu sio mwaka janaUsd inapanda thamani dhidi ya kenya.?
Mwaka jana 2023 Usd 1 ilikua sawa na kshs 162. Sasa hivi Usd 1 sawa na kshs 129. Hapo imepanda au imeshuka?
Huu mporomoko wa dollar dhidi ya shillingi kwa Kenya wako nao mwaka mzima. Mwaka mzima dollar inaporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya. Tuache kuandika uongo
Mkuu ya kweli hayo unatangazoa Bot la mwaka 2023 likieleza wanunuzi wote kulazimika kuuza 20 ya mzigo wao Bot? Maana hilo tangazo limetoka september kama sikoseiMaamuzi ya kununua gold yalifanyika hata mwaka Jana 2023. Tena tulinunua zaidi hara ya Sasa. Umeandika uongo tena
Hili tangazo ni la mwaka 2023?Maamuzi ya kununua gold yalifanyika hata mwaka Jana 2023. Tena tulinunua zaidi hara ya Sasa. Umeandika uongo tena
nukta.co.tz
Acha kupotosha 2023 wakati sheria ya madini imepitishwa mwaka 2024Maamuzi ya kununua gold yalifanyika hata mwaka Jana 2023. Tena tulinunua zaidi hara ya Sasa. Umeandika uongo tena
nukta.co.tz
Hiki ulichoweka umekielewa kweli? Sijui umetoa wapi. Soma hiyo table na soma maelezo hapo mwanzo mwaka huu 15,000mil + from previous year 13,000mil+Clear Selection
Copy Excel CSV
Name Total exports of goods Description - Unit Million of USD Last Update Friday, 16 August 2024 Source Bank of Tanzania calendar year Total exports of goods
calendar year Total exports of goods ( (Million of USD) ) 2017 4,510.756174 2018 4,292.715646 2019 5,377.596942 2020 6,371.715784 2021 6,756.241874 2022 7,223.821879 2023 7,696.557689 Export Performance:
- Total Exports: Tanzania's exports of goods and services surged to USD 15,064.6 million in the year ending August 2024, up from USD 13,290.1 million in the same period of the previous year, representing an increase of approximately 13.4%.
- Breakdown of Exports:
- Traditional Exports: These increased to USD 1,099.9 million, up from USD 807.9 millionin the previous year. The increase was largely attributed to higher exports of:
- Tobacco and cashew nuts, driven by both volume and price improvements.
- Non-Traditional Exports: Amounted to USD 6,568.3 million, compared to USD 6,349.8 millionpreviously, largely driven by:
- Gold exports: Increased by 8.2% to USD 3,189.4 million, reflecting strong global demand and favorable prices.
- Horticultural products: Saw a significant rise of 35.3%, reaching USD 454.4 million, driven by increased shipments of edible vegetables.
- Monthly Export Figures: In August 2024, exports of goods totaled USD 934.3 million, compared to USD 785.3 million in August 2023, showing growth year-on-year.
2. Import Performance:
- Total Imports: Imports increased to USD 16,427.5 million for the year ending August 2024, up from USD 16,327.7 million the previous year, indicating a slight increase of about 0.6%.
- Breakdown of Imports:
- Capital Goods: Imports of capital goods rose to USD 2,912.4 million, a marginal increase from the previous year, with significant purchases of machinery and transport equipment.
- Intermediate Goods: These accounted for USD 9,860.0 million, with notable increases in:
- Fuel and lubricants: Totaled USD 3,090.1 million, highlighting the ongoing demand for energy imports.
- Iron and steel: Imports of these materials surged, reflecting ongoing infrastructure projects and construction activities.
- Monthly Import Figures: In August 2024, goods imports amounted to USD 1,468.3 million, compared to USD 1,163.9 million in August 2023, indicating robust import
Hata kwenye miezi 6, dollar ilikua inaanguka dhidi ya kenya. Angalia tena. Wala hili hakihitaji propaganda na uongo. Dollar kwa mwaka mzima huko Kenya imekua ikiporomokaNimechukua data za miezi Sita maana hiyo interest rate marekani kashusha mwakaa huu sio mwaka jana
Hii comment sijaielewa. Nimekuambia mwaka Jana tulinunua pia gold, why dollar haikushuka? Hapa jibu straight maana ulichojibu sijaelewaMkuu ya kweli hayo unatangazoa Bot la mwaka 2023 likieleza wanunuzi wote kulazimika kuuza 20 ya mzigo wao Bot? Maana hilo tangazo limetoka september kama sikosei