DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

Don wewe ni level za akina Jayz,Kanye West na hata Eminem

kosa umezaliwa Africa tena kusini mwa jangwa la Sahara

ila kwa Bongo pacha wako ni Diamond maana na yy ugonjwa wake ni sketi
 
Sio kwa ubaya. Huyu jamaa nimemsoma juzi juzi tu kabla hajatoka jela. Sikuwahi kumfahamu kabla. Kama binadamu nasikitika kuona mapitio anayo yapitia japo sio kazi yangu.

Nadhani ndugu huyu baada ya kutoka jela alitakiwa apate wataamu wa akili au washauri wa karibu. Imagine humu watu wanaficha picha na majina yao lakini yeye kaweka wazi mpaka wazazi. Inasikitisha.

Mnao mpoteza zaidi ni nyie mnao mshabikia kila kukicha. Muelekezeni njia sahihi jamani.
 
Back
Top Bottom