Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Kisandu chenga muda sana, hata kabla hajaenda jela, swala la kutumia picha yake sio issue kwake, alafu mbona wengi tu humu wapo verified na wanatumia picha zao halisi.Sio kwa ubaya. Huyu jamaa nimemsoma juzi juzi tu kabla hajatoka jela. Sikuwahi kumfahamu kabla. Kama binadamu nasikitika kuona mapitio anayo yapitia japo sio kazi yangu.
Nadhani ndugu huyu baada ya kutoka jela alitakiwa apate wataamu wa akili au washauri wa karibu. Imagine humu watu wanaficha picha na majina yao lakini yeye kaweka wazi mpaka wazazi. Inasikitisha.
Mnao mpoteza zaidi ni nyie mnao mshabikia kila kukicha. Muelekezeni njia sahihi jamani.