DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

Kisandu chenga muda sana, hata kabla hajaenda jela, swala la kutumia picha yake sio issue kwake, alafu mbona wengi tu humu wapo verified na wanatumia picha zao halisi.
 

yaani don afiche picha yake!?

kila mtu anamjua halafu huyu ni legend
 
Wana JF tumsaidie huyu ndugu yetu jamani, tutampoteza tusipokuwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…