DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

Ulinitosa ulizani sitapata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeoa mrembo mbibi, karibu sana kwetu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi sawa mbabu..nilikumiss lakini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi sawa mbabu..nilikumiss lakini
Ambaye huwa anakuteka mwambie asiwe anazidisha muda wa kukuteka basi..
 
Kosa walilofanya ni kukuwahisha kutoka jela. Ungekaa kama miaka 14 hv ungetoka timamu kichwani
 
Halafu si bure Bibi FaizaFoxy ndio kamcheza huyu kijana, hlf anaona nyuzi zake anazipita tu kama si yeye

Hii dunia hii
 
Jina linaanziwa na S kwaiyo bunia yupo huu
Ps.sio saint ivuga
Ahaaa kumbe ni Bilionea mpya wa Chuga(Saniniu)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kwenye fursa mbibi hufanyagi nakosa...
 
Ahaaa kumbe ni Bilionea mpya wa Chuga(Saniniu)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kwenye fursa mbibi hufanyagi nakosa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mule mule mbabu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mule mule mbabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa natarajia kukuona kwenye ubonge nyanya kwa siku za usoni mbibi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…