Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Ndo maana tuliomba Mungu amwingize kazini !
Na ndo maana walitaka kumuua!
Tulishajua na ilikuwa vita haswa ,lkn kanisa la Mungu km mwili wa Kristo bila kujali dhehebu baada ya kuliitia jina la Bwana akafanya!
The body of Christ wins 💪....we acknowledge God for that!

Kwahiyo tulikuwa tunajua nn tunafanya ,na mamlaka ya Mungu akiye hai itamsaidia !
 
Mungu akitaka kufanya kitu hutumia mtu!
Don't forget,Mungu na Satan wote ni roho Ili wafanye kazi hapa duniani hutumia mtu!

Shida ya watu mnapenda kuhangaika na past!
Soma biblia ujue Rahabu yule kahaba badaae alikuja kuwa nani?
Au Paulo unaemsoma kabla aliitwa Sauli alikuwa akiua watu na kupinga habari za Yesu baadae ndo Mungu amemtumia Kwa viwango vya juu kuliko mitume 12 wa Yesu , mpk ss tunamsoma!
Kwahiyo km Mungu akiamua kumtumia mtu haijalishi huko nyuma alikuwaje,atambadirisha na kuhakikisha anaputisha jambo lake!
Hivyo haijalishi alikuwa nani huko nyuma huyo Trump ss sio yule tena na Mungu atamtumia kuirudisha hiyo nchi kwenye mstari.
 

Sitaki hata kufuru and I'm sorry darling but placing Jesus' name, USA presidency or Trump in the same sentence is the epitome of ignorance. USA is a mother of destruction and Donald can't remove such solid system all alone
 
Oyaa jamani hivi mnafatilia hii speech??.

Jamaa anasema kuanzia Sasa, Marekan itatambua Jinsia mbili tu ambayo ni Ke na Me, na ambazo hutambulika mara tu ya kuzaliwa 🤣🤣🤣🤣

Woyooooooo
Habari ndo hiyooo
Ktk jina la Yesu
Yaani watapigwa tu
Km tulivyowapiga wakati wa uchaguzi,kuzimu haiamini.
Aisee Kwa mara ya kwanza kanisa halikujali dhehebu likaomba Kwa bidii na Mungua akjibu.

Ss tunahama tunaelekeza maombi ya ulinzi na mamlaka kwake
 
Sitaki hata kufuru and I'm sorry darling but placing Jesus' name, USA presidency or Trump in the same sentence is the epitome of ignorance. USA is a mother of destruction and Donald can't remove such solid system all alone
Yeye hawezi ila Mungu aliyemuweka hapo kwenye hiyo position ndo anaweza.
So atamuwezesha

Muombee tu mpendwa
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
Kuzimu ndo wanafaidika
Cha kwanza kuua uzao wa kiume
Mwanaume akishauawa Kuna nn tena?
Manaake hakuna kuzaa,hivyo wanabaki wanawake watupu
 
Kwa hiyo Trump ni mpango wa Mungu sio ?
 
Kuna mashoga humu wanachungulia tu na kukimbia .
Hakuna namna mjipange tu
Tunawaombea Yesu awasaidie mrudi kwenye Hali zenu acheni tuliozaliwa wanawake tuwe wanawake.

Tunajua hizo ni spirit zonazo oparates in higher levels of spiritual realm ila mkiamua Mungu awafungue huko inawezekana
 
Habari ndo hiyooooo mkuu
Anyway.... Trump ni conservative na hakubaliani na sera za liberals kama haki za LGBTQ n.k....kwanini mmeangalia kipengele hicho tu kuhitimisha kuwa Trump ni mpango wa Mungu?....

Kuna mambo mengine mfano mabadiliko ya Hali ya hewa ambapo Trump na conservative wenzake hawaamini ukweli wake ila lipo hata sisi nchi tunazoendelea linatuathiri, vipi huyu chaguo la Mungu akatae kulinda mazingira?
 
Tutayaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…