Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Ila mimi nijuavyo trup sio mzee wa vita sana Sema nawaonea huruma wa Palestine atazidi kuumizwa kwakua Trump amawasaport zaidi wa Israeli
 
Maskini poleee, inaonekana wewe ni slow learner sana.
 
Huoni pia unaposema inabalance maana yake ni sawa na kuwanyima haki ya kumchagua Rais wamtakaye hao unaosema wapo wengi kwenye majimbo yao?

Kuna usemi usemao wengi wape sasa hapo mbona kama wengi wananyimwa?
Sema mwamba una kichwa kigumu, please don't take offense, we umeambiwa anaepata kura NYINGI kumzidi mwenzie kwenye jimbo husika ndo huyo huyo anapewa electoral votes zote za jimbo!! Hebu tuelezee hao wengi wamenyimwa vipi?
 
Bakia na unachoelewa, usinizeeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…