Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Ila mimi nijuavyo trup sio mzee wa vita sana Sema nawaonea huruma wa Palestine atazidi kuumizwa kwakua Trump amawasaport zaidi wa Israeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiona vita ya Ukraine ikiishaMwaka utaisha vizuri, world leaders watakuwa wanagonga glass tu
Nyie ndio wakiwakamata wanawapiga mpaka mashindwa kuongea 😂😂😂😂😂😂😂😂Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kumuwezesha Trump kushinda kiti cha urais
Karibu mkuuNaomba nikucheki inbox, kuna nyuzi niliona unaongelea swala flani 2021
Hiyo Yemeni wale waliojidai wababe unajua wanasema nini sasa?
View: https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1854116569791545593
Ahsante broKaribu mkuu
Kila kitu kitaisha, na vicheko vitarudi; ana ushawishi mkubwaNaiona vita ya Ukraine ikiisha
Maskini poleee, inaonekana wewe ni slow learner sana.Ndiyo umeeleza nini sasa?
Sina uhakika hata kama wewe mwenyewe umeelewa ulichoandika.
Swali ni dogo sana, kwanini hawaachi kura za wananchi ndiyo zikawa kura za kuamua mshindi?
Kama ni demokrasia basi demokrasia nzuri na yenye uhalisia ni ile mamlaka ya uamuzi kuachiwa umma.
Sasa hii ina tofauti gani na China ambako tunaambiwa hakuna demokrasia ya kweli ambapo Rais anachaguliwa na bunge.
Trump na Putin ni maswahiba wakubwa, rejea kwenye uchaguzi wakati ndio kwanza Trump naingia madarakaniKila kitu kitaisha, na vicheko vitarudi; ana ushawishi mkubwa
Sema mwamba una kichwa kigumu, please don't take offense, we umeambiwa anaepata kura NYINGI kumzidi mwenzie kwenye jimbo husika ndo huyo huyo anapewa electoral votes zote za jimbo!! Hebu tuelezee hao wengi wamenyimwa vipi?Huoni pia unaposema inabalance maana yake ni sawa na kuwanyima haki ya kumchagua Rais wamtakaye hao unaosema wapo wengi kwenye majimbo yao?
Kuna usemi usemao wengi wape sasa hapo mbona kama wengi wananyimwa?
Bakia na unachoelewa, usinizeeshe.Kwa tafsiri ya demokrasia ambayo wao wazungu ndiyo waanzilishi wa tafsiri na maana ya demokrasia basi wao ndiyo hukeuka hiyo dhana ya demokrasia.
Nimeambatanisha hapa nini tafsiri ya demokrasia na majibu ni kama haya.
Je, bado unataka tuamini kwenye uchaguzi wa Marekani kuna demokrasia?
😂😂 sasa Putin ana umwamba gani?Wote wanaompongeza Trump sasa hivi wala hawaleti msisimko, pongezi ni moja tu kutoka kwa mwamba Putin.
Changamoto ijayo 2025 hapa 255Democrats hawakuwa na mgombea wa kushindana na Trump
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kumuwezesha Trump kushinda kiti cha urais
Kwel awekeSasa mjomba mbona hujaweka idadi ya ushindi?
Unawahi nini?
Una miaka mingapi?/Kwa tafsiri ya demokrasia ambayo wao wazungu ndiyo waanzilishi wa tafsiri na maana ya demokrasia basi wao ndiyo hukeuka hiyo dhana ya demokrasia.
Nimeambatanisha hapa nini tafsiri ya demokrasia na majibu ni kama haya.
Je, bado unataka tuamini kwenye uchaguzi wa Marekani kuna demokrasia?
😃😃😃😃 Mbavu sinaTunamshukuru sana Rais Samia kwa kumuwezesha Trump kushinda kiti cha urais
Aliolewa na mume wa mtu,na hana mtotoKwani Kamala kaolewa?
Au ni single mother kama sie