Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

SHIT HOLE countries tutakoma!
 
Biden pamoja na uzee wake nadhani angekuwa competitive kushinda Kamala.
No, Biden pia angeshindwa.

Biden alipaswa atangaze mapema zaidi nia yake ya kutogombea tena kiti cha uRais ili kutoa nafasi kwa Watu wengine ambao ni wagombea sahihi & competitive ndani ya chama chake cha Democrats kuweza kuonyesha nia zao za kugombea.
 
Kifupi, wale wajumbe (electoral college) wanapiga kura kwa kuzingatia mshindi wa jimbo husika. Ndiyo maana hata kabla hawajapiga kura, mshindi anakuwa amejulikana.

Kazi yao kimsingi ni kuidhinisha au kurasimisha tu kile ambacho tayari kimeshafanyika.
 
Chombo gani wewe hapo BBC,CNN na aljazeera wanasema ameshinda majimbo mawili makubwa bado mengine wewe jamaa muongo sana

USSR
Florida watatangaza muda si mrefu na tayari ameshinda majimbo ya Pennsylvania, North Carolina na Georgia.

Hapo kabla alitabiriwa kushinda majimbo ya New York na Massachusetts.

Kwenye majimbo ya Nevada, Michigan, Arizona na Wasconsin anashinda.

Ndo maana saa hii yupo Palm Beach alihutubia na Kamala Harris ameenda nyumbani kujipumzisha.

Marekani ukiona wasema exit poll fulani katoka fahamu huyo mgombea ni mshindi.
 
Biden pamoja na uzee wake nadhani angekuwa competitive kushinda Kamala.
Wewe ndiye uliyenifanya nifuatile speech za Kamala, kuna siku ulisema hana kitu kichwani.

Nilifuatilia speech zake nyingi sana nikahakikisha kuwa ni mtupu...hayuko smart.

Sasa sijui nini ilikufanya uamini atashinda😂
 
Kipondo ili kiishe Ukraine hapaswi kujiunga na NATO na ndicho ambacho mrusi anacho kutaka kuhakikishiwa Hilo Kwa mikataba , so akiingia trump lazima atafanya Hilo cause alikuwa na mahusiano Mazuri na Putin kitendo cha Ukraine kutojiunga na NATO kikiafikiwa it means Russia watakuwa wameshinda dhamira yao ya kuzuia Hilo lisiweze kutokea
Hapo sasa kipondo kwisha Ukreni. Unapaswa kufurahi, wala si kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…