Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NINGESHANGAA DUNIA KUONGOZWA NA DEMImetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
View attachment 3144969
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote ametalikiana nao. Mke wake wa sasa ni Bi Melania.
Bwana Trump ana watoto watoto watano, watatu wa kiume Donald Trump Jr, Eric, Barron na watoto wawili wa kike Ivanka na Tiffany.
Rais huyo wa Zamani wa Marekani alizaliwa Juni 14 mwaka wa 1946, mjini New York, akiwa mtoto wa tano kati ya watoto sita.
Babake Fred alikuwa tajiri aliyemilki majumba na babu zake Trump walikua wahamiaji kutoka Ujerumani.
Mamake Mary alikuwa mzaliwa wa Scotland.
View attachment 3144983
Tangu utotoni, Trump alikuwa mtundu na wazazi wake walimpeleka shule ya msingi iliyofadhiliwa na jeshi mjini New York.
Baadaye alifuzu kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania, kitivo cha elimu ya biashara mwaka wa 1968.
Alifanya kazi katika kampuni ya babake ambaye aliendesha biashara ya kuuza nyumba kwa raia wa kipato cha kadiri, viungani mwa New York.
Hata hivyo Donald Trump alikuwa na ndoto ya kufanya biashara nje ya makaazi ya Queens na Brooklyn.
Aliwekeza katika biashara kubwa ya ujenzi na kuweza kujenga mojawapo ya mijengo ya kifahari zaidi nchini Marekani. Alifanikiwa kutokana na sera ya kiuchumi iliyowekwa na utawala wa Reagan miaka wa 1980.
Yapo mahoteli, viwanja vya mchezo wa gofu, makazi ya kifahari, majumba ya kamari kutoka Carlifonia hadi Mumbai nembo yake ikiwa ni Trump.
Ameandika Riwaya kadhaa kuhusu biashara, huku umaarufu wake uking'aa zaidi katika makala yanayoelezea maisha halisi, "The Apprentice," katika runinga ya NBC. Hata hivyo alitupwa nje ya makala hayo baada ya kutoa kauli zilizowakera raia wa Mexico.
I'm Donald Trump and I approve this message.Amezoe kuomba misaada,kwa Trump akome sasa
Trump Hawa watu wa vita , Republican ni watu wa Vita.Ivi huyu au yule demu nani angeleta mabalaa zaidi Middle East?
Katiba ya USA inasemaje kama hizo term hazifuatani?term ni mbili tu. kama utaweza zipata, hii inakua term yake ya pili kwisha kazi
Wamnadi muda mwingi wakati ndio alikuwa VP kwa miaka 4?Chama cha Democrats kilikosea kupiga mahesabu vizuri kuhusiana na suala la Uchaguzi huu. Kampeni za Uchaguzi huu walipaswa kuanza mapema mwaka mmoja kabla ya mwaka wa uchaguzi wenyewe kwa kumuweka Wazi mapema Mgombea wao mtarajiwa ili kumnadi kwa Wapiga Kura.
Kamala Harris aliibuka tu kama surprise au kama ambush kwa Wapigakura.
Inasemaje katiba yao kama terms hazifuatani?Hawez, anamaliza awamu zake mbili.
Yaani we nilikubishia August ulivyokuja kudanganya watu kuwa Harris atashinda pole😁😁😁Inavyoelekea na popular votes atashinda.
Hee! Urusi imeshinda? Mbona sielewi hapo? Anewei, Ukreni byebye!Pumzika kwa amani Yahya Sinwar, Kamala aliniudhi sana kushangilia kifo chako.
Russia tumeshinda tena, nimefurahi.
Kwa waafrika kuna upenyo wa kudai terms zake za urais hazikufuatana so wakasema anaweza gombea hata 2028. Hicho hakiwezekani kwao? Maana hali kama hii haijawahi kutokeaHuu ndio muhula wake wa mwisho.
Sidhani kama ni marafiki.Kitu sijawahi kumuelewa Trump ni urafiki wake na Putin, hivi huwa ni kwa ajili ya nini?
Fox hiyoNdio maana huwa wanajua waongo wengi wajinga hiyo Electoral vote umeisoma kwenye media ipo huku wametangaza majimbo mawili tu
USSR
Weka japo kipande cha clip, mkuu.I’m tuned into MSNBC and I’m loving it.
Seeing them meltdown live on TV is so therapeutic.
Haiwezekani mkuu.....sio lazima zifuatane ndio ziitwe mbili.Kwa waafrika kuna upenyo wa kudai terms zake za urais hazikufuatana so wakasema anaweza gombea hata 2028. Hicho hakiwezekani kwao? Maana hali kama hii haijawahi kutokea