Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Suluhisho kwa sisi we nye vichwa vigumu ni nini?Angalao tujikomboe.
Hili suala la uchaguzi wa USA zipo maada nyingi ambazo zimetolea ufafanuzi, lakini bado watu wanakuja na ngonjera tu.
Suluhisho muwe tayari kuelimishwa na muanze kujielimisha wenyewe.
 
Hua naskitika sana nikiskia watu wanaoamini Israel ndio mjanja anaiendesha Marekani. Kaa ukijua Israel ipo hapo sababu ya Marekani na sababu Israel analinda maslahi ya Marekani middle east. Inshort Israel ni kama 51 state ya Marekani sasa nikiona watu wanavoipa nguvu israel kama ndio inaamua hatma ya Marekani ni ushabiki maandazi.
 
ulichoandika ndo ushabiki maandazi
 
Kwa hiyo zile kura milioni 80 alizopata Trump wamezipiga wale Wayahudi wa Tel Aviv ama Gollan Heights?

Kama sijaelewa naomba kurekebishwa mara moja. Maana sie hapa ndipo tunajiandaa haswa kwenda uapishoni Washington DC mnamo Januari 20.
 
Back
Top Bottom