Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui.
Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani amemshindwa Iran?

Did Trump want to use nuclear codes in Iran? Did Dan Caine stop him? Ex-CIA analyst's claim fact checked​

Larry Johnson claims Donald Trump sought to use nuclear codes in Iran but Gen Dan Caine stopped it; no evidence backs a Saturday Pentagon emergency meeting.​

********************************
04:09
Issued on: 21/04/2026 - 22:45Modified: 21/04/2026 - 22:46
04:09 min
Share
From the show
Truth or Fake

Reading time1 min

Former CIA analyst Larry Johnson alleged on a podcast this week that US President Donald Trump wanted to use the nuclear codes against Iran during an emergency White House meeting, but that he was stopped by General Dan Caine, chairman of the Joint Chiefs of Staff. Johnson described the interaction as "quite the blow up." It comes as concern mounts over the US president's unpredictable behaviour, as many lawmakers voice doubts about his mental state.

On an appearance on the Judging Freedom podcast hosted by former Fox News analyst Andrew Napolitano, ex-CIA officer Larry Johnson claimed an emergency briefing evolved into a confrontation, after General Dan Caine stood his ground after Donald Trump sought to invoke the nuclear codes. He said Caine "stood up and said 'No.' He invoked his privilege as the head of the military."

The Wall Street Journal also reports that Trump was "intentionally excluded from the Situation Room" during Washington's recent operation to rescue US airmen in Iran. Sources revealed that he was in such a volatile state that he was screaming at his aides "for hours" and military officials made the choice to limit his access, "believing his impatience wouldn't be helpful".

Though it's difficult to verify proof of nuclear strike intent, the gap between Trump's recent war rhetoric and the stance by his Joint Chiefs of Staff has fanned the flames of this viral claim.
 
NAtaka kujua aliewahi kwenda vitani na iran na akafanikiwa kupata ushindi??
 
Hizo ni zilezile porojo za masjid ubwabwa. Hakuna aliyesema bomu la nyuklia lingetumiwa dhidi ya Iran.

Nyie mnasemaga Iran inataka nuclear ili kuifuta Israel huwa mnatoa wapi hizo kauli na uthibitisho? Yaani ulitegemea kabisa wakubali hilo swala? Au ulidhani threat ya kufuta civilization nzima ya Iran ilikua na maana gani kwa mfano
 
Historia inasema, baada ya mabomu ya nyuklia kuangamiza Hiroshima na Nagasaki mwaka 1945, viongozi wa Marekani walijutia sana kitendo kile na kuapa kutotumia tena silaha za nyuklia popote duniani.

Baada ya hapo ndipo Marekani akawa mstari wa mbele kudhibiti utengenezaji wa silaha za nyuklia kwa sababu dunia inaweza kuja kuangamizwa.
 
Tatizo hujui kizungu rudi ukasome tena Trump alitaka kutumia Nuclear lakini Gen Dan Caine chairman of the Joint Chiefs of Staff ndiye aliye mzuia

View: https://youtube.com/shorts/m8WXeHHl9Jo?si=VLXrEd2ilRrzUILi
 
Hizo ni zilezile porojo za masjid ubwabwa. Hakuna aliyesema bomu la nyuklia lingetumiwa dhidi ya Iran.

Najua hii inakuuma sana,kuona Taifa ulilokua unaliona kama supapawa linafikiria kutumia nyukilia dhidi ya nchi iliyowekewa vikwazo Kwa miaka karibu na Nusu Karne.
Na ulivyo mzembe umeshindwa hata kuelewa kua taarifa hiyo siyo maneno yangu,Bali ni maneno kutoka Marekani kwenyewe,licha ya kui quote taarifa hiyo lkn bado unadai ni kutoka msikitini
Wewe kweli ni kilaza.
Kibaya zaidi unaona Kila mtu anaeipinga Marekani au Trump unaona anatokea masjid.
Kwa jinsi ulivyo mjinga hata Papa huyu utasema ni Kutoka masjid ubwabwa.
Mahaba yanawafanya mnakua mazuzu.
 
Hizo ndio indicator kua USA amemshindwa vita hii.
Nyukilia ni silaha ya mwisho kabisa,
Huwezi ukapigana na Wasomali,au Watalaban ukataka kutumia nyukilia,ukiona taifa kubwa kama hili linataka kutumia nyukilia ujue hiyo ni dalili kua silaha zote zimeshindwa.

Hivi hii USA kweli inauweza mziki wa Urusi au China kweli bila kutumia nyukilia?
 
Nyie mnasemaga Iran inataka nuclear ili kuifuta Israel huwa mnatoa wapi hizo kauli na uthibitisho? Yaani ulitegemea kabisa wakubali hilo swala? Au ulidhani threat ya kufuta civilization nzima ya Iran ilikua na maana gani kwa mfano

Was Donald Trump 'blocked' from using the nuclear codes against Iran?​

Historia inasema, baada ya mabomu ya nyuklia kuangamiza Hiroshima na Nagasaki mwaka 1945, viongozi wa Marekani walijutia sana kitendo kile na kuapa kutotumia tena silaha za nyuklia popote duniani.

Baada ya hapo ndipo Marekani akawa mstari wa mbele kudhibiti utengenezaji wa silaha za nyuklia kwa sababu dunia inaweza kuja kuangamizwa.
Nawewe unawaamini kama wamesema ukweli hawakua ama hawataki na walijuta kutumia na hawataki kutumia tena
1.kwanini mpaka leo wanawapelekea israhell nyambizi zenye silaha za nyuklia wakati nikinyume na nia yao kama unavyo wasemea pia nikinyume cha mkataba wa NPT
2.kwanini bado wanaendelea kutumia mabilioni ya pesa kuendeleza uundwaji wa silaha hizo mpya kwanini wasizivunje zilizopo na wakaachana na miradi mipya ya uundaji wa hizo sioaha
Hakuna taifa la hovyo nalawauaji kama marekani
 
Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui.
Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani amemshindwa Iran?

Did Trump want to use nuclear codes in Iran? Did Dan Caine stop him? Ex-CIA analyst's claim fact checked​

Larry Johnson claims Donald Trump sought to use nuclear codes in Iran but Gen Dan Caine stopped it; no evidence backs a Saturday Pentagon emergency meeting.​

********************************
04:09
Issued on: 21/04/2026 - 22:45Modified: 21/04/2026 - 22:46
04:09 min
Share
From the show
Truth or Fake

Reading time1 min

Former CIA analyst Larry Johnson alleged on a podcast this week that US President Donald Trump wanted to use the nuclear codes against Iran during an emergency White House meeting, but that he was stopped by General Dan Caine, chairman of the Joint Chiefs of Staff. Johnson described the interaction as "quite the blow up." It comes as concern mounts over the US president's unpredictable behaviour, as many lawmakers voice doubts about his mental state.

On an appearance on the Judging Freedom podcast hosted by former Fox News analyst Andrew Napolitano, ex-CIA officer Larry Johnson claimed an emergency briefing evolved into a confrontation, after General Dan Caine stood his ground after Donald Trump sought to invoke the nuclear codes. He said Caine "stood up and said 'No.' He invoked his privilege as the head of the military."

The Wall Street Journal also reports that Trump was "intentionally excluded from the Situation Room" during Washington's recent operation to rescue US airmen in Iran. Sources revealed that he was in such a volatile state that he was screaming at his aides "for hours" and military officials made the choice to limit his access, "believing his impatience wouldn't be helpful".

Though it's difficult to verify proof of nuclear strike intent, the gap between Trump's recent war rhetoric and the stance by his Joint Chiefs of Staff has fanned the flames of this viral claim.
Walipopiga atomic bombs Hiroshima na Nagasaki walikuwa wamezidiwa? Kutumia silaha zozote conventional or nonconventional ni maamuzi binafsi ya nchi(jeshi) husika ila vita hivi ni vidogo mno kwa silaha kubwa kama nukes.
 
Katizame Hacksaw ridge inaelezea historia ya vita ya pili ya dunia. Kuna veterani ambaye alipewa medali ya shaba kwa kuokoa US navy wengi. Alikiri na kusema KAMA USA ISINGEPIGA NUCLEAR BOMB NAGASAKI NA HIROSHIMA BASI MAREKANI WALIKUA WANAPOTEZA VITA DHIDI YA JAPAN.
Ile vita US alizidiwa na Japan wazi wazi.
 
Sababu pekee ya Japan kupopolewa na atomic ni ardhi yao(Pearl Harbour) kuguswa, 'you touch their land they nuke you'.
 
Back
Top Bottom