Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

Sababu pekee ya Japan kupopolewa na atomic ni ardhi yao(Pearl Harbour) kuguswa, 'you touch their land they nuke you'.
Not only because of pearl harbour kijana. USA ilikua inaelemewa ile vita huo ndio uhalisia. Maveteran walionusurika ile vita ambao takriban wote walemavu walikiri hilo.
 
Dogo hakuna unalolifahamu, USA haikuelemewa na wala haikukaribiwa . Literally wao waliingia ili wale 'the evil trio' wasijekushinda US ikawa next target.
 
Kwanza koma kuniita dogo hujui umri wangu. Pili NENDA KABISHANE NA MAVETERANI AMBAO WALINUSURIKA NA HIYO VITA WAKIWA WALEMAVU,maana wao ndio walisema kuwa ile vita iliwaelemea ndio chanzo cha US kutumia nukes.
Yani ulivyo MSENGE unabishana hadi na yule aliyenusurika vita.
Wabongo bana!?
 
Back
Top Bottom