Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
NAtaka kujua aliewahi kwenda vitani na iran na akafanikiwa kupata ushindi??Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui.
Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani amemshindwa Iran?
Did Trump want to use nuclear codes in Iran? Did Dan Caine stop him? Ex-CIA analyst's claim fact checked
Larry Johnson claims Donald Trump sought to use nuclear codes in Iran but Gen Dan Caine stopped it; no evidence backs a Saturday Pentagon emergency meeting.
********************************
04:09
Issued on: 21/04/2026 - 22:45Modified: 21/04/2026 - 22:46
04:09 min
Share
From the show
Reading time1 min
Former CIA analyst Larry Johnson alleged on a podcast this week that US President Donald Trump wanted to use the nuclear codes against Iran during an emergency White House meeting, but that he was stopped by General Dan Caine, chairman of the Joint Chiefs of Staff. Johnson described the interaction as "quite the blow up." It comes as concern mounts over the US president's unpredictable behaviour, as many lawmakers voice doubts about his mental state.
On an appearance on the Judging Freedom podcast hosted by former Fox News analyst Andrew Napolitano, ex-CIA officer Larry Johnson claimed an emergency briefing evolved into a confrontation, after General Dan Caine stood his ground after Donald Trump sought to invoke the nuclear codes. He said Caine "stood up and said 'No.' He invoked his privilege as the head of the military."
The Wall Street Journal also reports that Trump was "intentionally excluded from the Situation Room" during Washington's recent operation to rescue US airmen in Iran. Sources revealed that he was in such a volatile state that he was screaming at his aides "for hours" and military officials made the choice to limit his access, "believing his impatience wouldn't be helpful".
Though it's difficult to verify proof of nuclear strike intent, the gap between Trump's recent war rhetoric and the stance by his Joint Chiefs of Staff has fanned the flames of this viral claim.
Nyie mnasemaga Iran inataka nuclear ili kuifuta Israel huwa mnatoa wapi hizo kauli na uthibitisho? Yaani ulitegemea kabisa wakubali hilo swala? Au ulidhani threat ya kufuta civilization nzima ya Iran ilikua na maana gani kwa mfanoHizo ni zilezile porojo za masjid ubwabwa. Hakuna aliyesema bomu la nyuklia lingetumiwa dhidi ya Iran.
US denies nuclear plan as deadline on threat to Iran ‘civilisation’ looms
Trump's threat to kill 'whole civilization' and comments from VP have raised fears.www.aljazeera.com
na mie nataka kujua pia!!?NAtaka kujua aliewahi kwenda vitani na iran na akafanikiwa kupata ushindi??
Historia inasema, baada ya mabomu ya nyuklia kuangamiza Hiroshima na Nagasaki mwaka 1945, viongozi wa Marekani walijutia sana kitendo kile na kuapa kutotumia tena silaha za nyuklia popote duniani.Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui.
Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani amemshindwa Iran?
Did Trump want to use nuclear codes in Iran? Did Dan Caine stop him? Ex-CIA analyst's claim fact checked
Larry Johnson claims Donald Trump sought to use nuclear codes in Iran but Gen Dan Caine stopped it; no evidence backs a Saturday Pentagon emergency meeting.
********************************
04:09
Issued on: 21/04/2026 - 22:45Modified: 21/04/2026 - 22:46
04:09 min
Share
From the show
Reading time1 min
Former CIA analyst Larry Johnson alleged on a podcast this week that US President Donald Trump wanted to use the nuclear codes against Iran during an emergency White House meeting, but that he was stopped by General Dan Caine, chairman of the Joint Chiefs of Staff. Johnson described the interaction as "quite the blow up." It comes as concern mounts over the US president's unpredictable behaviour, as many lawmakers voice doubts about his mental state.
On an appearance on the Judging Freedom podcast hosted by former Fox News analyst Andrew Napolitano, ex-CIA officer Larry Johnson claimed an emergency briefing evolved into a confrontation, after General Dan Caine stood his ground after Donald Trump sought to invoke the nuclear codes. He said Caine "stood up and said 'No.' He invoked his privilege as the head of the military."
The Wall Street Journal also reports that Trump was "intentionally excluded from the Situation Room" during Washington's recent operation to rescue US airmen in Iran. Sources revealed that he was in such a volatile state that he was screaming at his aides "for hours" and military officials made the choice to limit his access, "believing his impatience wouldn't be helpful".
Though it's difficult to verify proof of nuclear strike intent, the gap between Trump's recent war rhetoric and the stance by his Joint Chiefs of Staff has fanned the flames of this viral claim.
Tatizo hujui kizungu rudi ukasome tena Trump alitaka kutumia Nuclear lakini Gen Dan Caine chairman of the Joint Chiefs of Staff ndiye aliye mzuiaHizo ni zilezile porojo za masjid ubwabwa. Hakuna aliyesema bomu la nyuklia lingetumiwa dhidi ya Iran.
US denies nuclear plan as deadline on threat to Iran ‘civilisation’ looms
Trump's threat to kill 'whole civilization' and comments from VP have raised fears.www.aljazeera.com
Sawa lete ukweli kutoka makanisa ya mashoga na mkuu wao Israel.Hizo ni zilezile porojo za masjid ubwabwa. Hakuna aliyesema bomu la nyuklia lingetumiwa dhidi ya Iran.
US denies nuclear plan as deadline on threat to Iran ‘civilisation’ looms
Trump's threat to kill 'whole civilization' and comments from VP have raised fears.www.aljazeera.com
Najua hii inakuuma sana,kuona Taifa ulilokua unaliona kama supapawa linafikiria kutumia nyukilia dhidi ya nchi iliyowekewa vikwazo Kwa miaka karibu na Nusu Karne.Hizo ni zilezile porojo za masjid ubwabwa. Hakuna aliyesema bomu la nyuklia lingetumiwa dhidi ya Iran.
US denies nuclear plan as deadline on threat to Iran ‘civilisation’ looms
Trump's threat to kill 'whole civilization' and comments from VP have raised fears.www.aljazeera.com
Anaweza kua anakijua kizungu ila SEMA tu ni mjinga Fulani hiviTatizo hujui kizungu rudi ukasome tena Trump alitaka kutumia Nuke.
Nyie mnasemaga Iran inataka nuclear ili kuifuta Israel huwa mnatoa wapi hizo kauli na uthibitisho? Yaani ulitegemea kabisa wakubali hilo swala? Au ulidhani threat ya kufuta civilization nzima ya Iran ilikua na maana gani kwa mfano
Nawewe unawaamini kama wamesema ukweli hawakua ama hawataki na walijuta kutumia na hawataki kutumia tenaHistoria inasema, baada ya mabomu ya nyuklia kuangamiza Hiroshima na Nagasaki mwaka 1945, viongozi wa Marekani walijutia sana kitendo kile na kuapa kutotumia tena silaha za nyuklia popote duniani.
Baada ya hapo ndipo Marekani akawa mstari wa mbele kudhibiti utengenezaji wa silaha za nyuklia kwa sababu dunia inaweza kuja kuangamizwa.
Walipopiga atomic bombs Hiroshima na Nagasaki walikuwa wamezidiwa? Kutumia silaha zozote conventional or nonconventional ni maamuzi binafsi ya nchi(jeshi) husika ila vita hivi ni vidogo mno kwa silaha kubwa kama nukes.Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui.
Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani amemshindwa Iran?
Did Trump want to use nuclear codes in Iran? Did Dan Caine stop him? Ex-CIA analyst's claim fact checked
Larry Johnson claims Donald Trump sought to use nuclear codes in Iran but Gen Dan Caine stopped it; no evidence backs a Saturday Pentagon emergency meeting.
********************************
04:09
Issued on: 21/04/2026 - 22:45Modified: 21/04/2026 - 22:46
04:09 min
Share
From the show
Reading time1 min
Former CIA analyst Larry Johnson alleged on a podcast this week that US President Donald Trump wanted to use the nuclear codes against Iran during an emergency White House meeting, but that he was stopped by General Dan Caine, chairman of the Joint Chiefs of Staff. Johnson described the interaction as "quite the blow up." It comes as concern mounts over the US president's unpredictable behaviour, as many lawmakers voice doubts about his mental state.
On an appearance on the Judging Freedom podcast hosted by former Fox News analyst Andrew Napolitano, ex-CIA officer Larry Johnson claimed an emergency briefing evolved into a confrontation, after General Dan Caine stood his ground after Donald Trump sought to invoke the nuclear codes. He said Caine "stood up and said 'No.' He invoked his privilege as the head of the military."
The Wall Street Journal also reports that Trump was "intentionally excluded from the Situation Room" during Washington's recent operation to rescue US airmen in Iran. Sources revealed that he was in such a volatile state that he was screaming at his aides "for hours" and military officials made the choice to limit his access, "believing his impatience wouldn't be helpful".
Though it's difficult to verify proof of nuclear strike intent, the gap between Trump's recent war rhetoric and the stance by his Joint Chiefs of Staff has fanned the flames of this viral claim.
Katizame Hacksaw ridge inaelezea historia ya vita ya pili ya dunia. Kuna veterani ambaye alipewa medali ya shaba kwa kuokoa US navy wengi. Alikiri na kusema KAMA USA ISINGEPIGA NUCLEAR BOMB NAGASAKI NA HIROSHIMA BASI MAREKANI WALIKUA WANAPOTEZA VITA DHIDI YA JAPAN.Walipopiga atomic bombs Hiroshima na Nagasaki walikuwa wamezidiwa? Kutumia silaha zozote conventional or nonconventional ni maamuzi binafsi ya nchi(jeshi) husika ila vita hivi ni vidogo mno kwa silaha kubwa kama nukes.
Haiwezi kuwa confirmed maana ni top secret ila kwa vitisho vya kufuta civilization lakini pia akili ya Trump ilivyo huwezi downplay serious allegations kama hizo.Was Donald Trump 'blocked' from using the nuclear codes against Iran?
Sababu pekee ya Japan kupopolewa na atomic ni ardhi yao(Pearl Harbour) kuguswa, 'you touch their land they nuke you'.Katizame Hacksaw ridge inaelezea historia ya vita ya pili ya dunia. Kuna veterani ambaye alipewa medali ya shaba kwa kuokoa US navy wengi. Alikiri na kusema KAMA USA ISINGEPIGA NUCLEAR BOMB NAGASAKI NA HIROSHIMA BASI MAREKANI WALIKUA WANAPOTEZA VITA DHIDI YA JAPAN.
Ile vita US alizidiwa na Japan wazi wazi.