Lile zee litafahamu karibuni hakuna mwenye nguvu zaidi ya Allah sio USA au Nato mwenye uwezo wa kushindana na Allah.
View: https://youtu.be/kGDTlVMNkNI?si=QoNsV9B2wIPo1kVh
Ameen ameen Ameen ameeen yaaaah Allah,Allahu Akbar, Al Hamdulillah shukrani sana Allah, Safi sana unguza kila kitu huko Los Angeles 🙏
Safi japo sio jehova ingekuwa IRAN sasa ivi mifuko ya mazwazwa ingekamuliwa jumapili hiii wangeambiwa mungu w Israel anaichoma IRAN watu meno yote nnje na misada kibao wakidhan wanampa mungu w Israel Aleruyaaaaaaaaa!!!!!Majini 72 wametumwa Los Angeles
Lakini moto unaweza kuanzia mwabepande ukaja sinaza ukavuka hadi kariako na postMkuu moto usikie tu yaan kuna pori moja nilienda kulima huko machakani basi nikalima pakubwa ikafika muda nimechoka sana na natakiwa kumaliza siku hio hio sasa kumbe kuna kitu nilisahau kule wenyewe hua hawachomi moto mchana kuelekea jioni yaani kuanzia saa 7 kuelekea 11 jioni hukuti mtu anachoma moto kwa sababu ya upepo mkali hada 12 kuelekea saa 1 ndio utakuta watu wanachoma moto
Basi nikaingia pori fanya yangu imefika saa 7 kwenda 8 nimechoka nikasema ngoja nichome hauendi mbali huu, ebanaeee moto unatembea na nyasi na kinyasi kidogo tu kikirukia upande wa pili kinawezaa kuunguza pori zima na ukiwa peke yako hata ufanye nini huwezi kuzima moto unaowaka kila upande
Nikatia kiberiti basi nikaanza kuzuia huku na huku ili moto usihame huwezi amini upepo ulipoongezeka kidogo tu moto ukahama ukahamia pori la pili uzuri kuna Mama yeye mwenyeji wa hilo eneo akaniambia usipokua makini utachoma pori zima hili utaunguza miti yote hii akaanza kunisaidia kuzima kuna sehemu akaniambia niwahi usivuke yaan kumbe kuna sehemu mbele walichimba kanjia akasema ukivuka kale kanjia ndio basi huo moto hauupati, kadadek nikawahi kale kanjia nikakuta ndio umekaribia kuvuka nilipambana ule moto balaa ingawa na mimi uliniunguza ila haukuvuka kale kanjia huku yule mama anasaidia kuzima upande mwingine ningekua peke yangu mngesikia tu kuna pori limeungua huko
Kwani JEHOVA KAENDA WAPI mbona kaliacha taifa la mungu marekani ikiteketea!!!
Huuu moto jehova kachukua kitu kuusu marekani waombe pooooLakini moto unaweza kuanzia mwabepande ukaja sinaza ukavuka hadi kariako na post
Ni heka heka tu kuuwa watoto kisha ubaki salama.
View: https://x.com/suppressednws/status/1878187057563988169?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hilo hawezi kukujibu. Au muulize allah lini atalipiza kupigwa na magaidi Tanzania kwenye zile balozi?Uturuki ilipgwa katafunua moja ya tetemeko mpaka tz tukawachangia nao walichoma mahema yawapalestna
Ongezea kuwa wangesema mossad na CIA wameshaafanya yaoWamekimbia wanajiuliza awapati majibu sasa ndugu zangu ingekuwa ndio Iran inateketea na MOTO dooooo tungesikia kila aina majigambo jehova mungu wa israel wana waYAKOBO tungeletewa kila Ushuzi USHUZI lkn sasaivi utawaona wanakana kuwa SIO nguvu za mungu ni jambo la kawaida tu ndio utasikia kwao!!!!!!!!!!!! Miongo minafiki mizwazwa isio na aibu. Kabisa.
Heading tu nikajua atakuwa muislam.. Mwambieni na Allah adeal na Waislam aache fikta za kuua non Muslims, kwasababu hatoweza kamwe atashindwa yeye kila siku..Wanakumbi.
Donald Trump:
There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.
The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.
Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!
View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics
Akamatwe kwa uchochezi trump, kwanini anasema hayo, ni kuichafua serikali tukufu ya Biden na mama HarisWanakumbi.
Donald Trump:
There is no water to extinguish fires, there is no money in emergency agencies.
The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.
Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!
View: https://x.com/syed_1109084/status/1877431426464743569?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Source: CNN Fact check: As wildfires rage, Trump lashes out with false claims about FEMA and California water policy | CNN Politics
Wewe si mlokole omba basi moto uzimike.Heading tu nikajua atakuwa muislam.. Mwambieni na Allah adeal na Waislam aache fikta za kuua non Muslims, kwasababu hatoweza kamwe atashindwa yeye kila siku..
Heading tu nikajua atakuwa muislam.. Mwambieni na Allah adeal na Waislam aache fikta za kuua non Muslims, kwasababu hatoweza kamwe atashindwa yeye kila siku..