Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Sidhani kama ni kweli.
Hayo maneno yamekaa kisiasa sana kwa sababu hapo mwishoni amesema U.S.A aache kufadhili vita nje ya nchi, that means ana fedha nyingi anazopaswa kuelekeza kwenye mambo ya msingi ndani ya nchi yake
Angekuwa na Fedha nyingi hayo yasingetokea.

Hizo Fedha za kufadhili ndio zinamsaidia kuiba Mali za wengine so huyo Trump ni ropo ropo tuu ila uzuri anaenda kushika Dola na Kila mwaka Kuna moto au vimbunga tupo hapa tutaona.
 
Kwani mpaka aseme Trump? Wewe huoni nyumba zinaungua?

Mwisho hizo media ziko against Trump Sasa ulitaka ziandike kipi?
Acha ushabiki mandazi CNN ni against Trump😅
 
kulialia Tramp apunguze! wakitaka pesa Mwamposa yupo atawachangishia alaka maji pia atawapa .
 
Miji imekuwa kama GAZA kutwa wanatuma missile au moto kwenda kuwauwa watoto wadogo pale GAZA sasa nawao wamepelekewa moto wamekuwa wakimbizi ndani ya nchi yao moto juu ya moto watasaza tu. Adi uruma USA chezea mungu na viumbe wake utadhalolika tu utasikia sikumbili izi ataomba msaada lkn missile ataendelea kuwapa IDF
 
Sio GAZA apo ni ndani ya mfadhili mkuu wa mauwaji ya watoto na wanawake wa Palestine Palestine Palestine Palestine itabaki milele maudui watakufa wataiwacha Palestine ikipendeza.
 
Huyo Trump si alisema atapeleka moto wa Jahanamu Middle East, naona yeye kapelekewa ni friction tu, ya moto wa jahanamu na Allah analia sasa 🤣
 
Huyo Trump si alisema atapeleka moto wa Jahanamu Middle East, naona yeye kapelekewa ni friction tu, ya moto wa jahanamu na Allah analia sasa 🤣
Donald Trump bado hajaingia ikulu rasmi. Miti mikavu ya jangwani isikutishe.
 
Kiazi kweli huyo aliyetafsiri!
CRISIS = Mgogoro? Does not fit the context.

GENOCIDE = MAJENGO; Duh!
 
Mimi nimevutiwa zaidi na Swahili translation ya hiyo kauli ya Trump!😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…