Salaam, Shalom!!
Leo hii, Rais Mteule ametangaza vita na Taasisi zinazojihusisha na USHOGA na kubadili jinsia LGBTQ duniani , Taasisi hizi Zina mizizinnchini pake,
Amedai sasa atafanikiwa sababu ana wabunge wengi kuliko Awamu iliyopita.
Ameapa kupeleka Sheria na adhabu Kali Kwa madaktari na Taasisi zinazojihusisha na uchafu huo.
Ilifika time, USA, mzazi aliweza kuruhusiwa kubadili jinsia ya mtoto aliyemzaa akiwa Bado under 5 yrs, huu UOVU ulikuwa umevuka mipaka, hopping hata majanga yatapungua nchini Pao.
Ninaona ban Kwa Museveni ikiondolewa baada ya ujio wa Donald Trump.
Hapa nchini, Taasisi hizo zitayeyuka zenyewe baada ya Nabii wa Mungu, Donald trump kuingia mamlakani.
Kwa jambo hili, ni dhahiri Waislamu na Wakristo na wasio na Dini wataungana na Nabii Donald Trump.
Mungu Mbariki Nabii Donald Trump.
Aamen.
Source: Times of India, Utube channel.