Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obama alitushalilisha waafrika wenzieDemocratic na akina Obama,walikua washaiharibu Dunia
Acha Trump airudishe kwenye mstari
Hakuna mabishsno kuhusu ushoga kwa Wamarekani bila kujali ni Democrats au Republicans.Sasa Trans gender haimo kwenye LGBTQ?
Kwann mnatetea USHOGA iwe kana ni jambo la kawaida?
Hakuna kitu mtu mweusi anaconda zaidi ya kuanya zinaa na kucheza ngoma,hawawezi kukuelewa mkuuHizo nchi zimefika hapo zikiwa zinapiga marufuku agenda za kishoga, hizo nchi zimestawi na kupata uchumi na nguvu za kijeshi kipindi ushoga unapigwa marufuku...
Tazama US inavyodondoka hivi sasa kwenye ushawishi wa kidunia, Trump anaposema make America great again ina maana ameina US inakwenda kuangukia kidevu na kuzidiwa na nchi kama China...
Trump ana maono, na ukiacha ushabiki utagundua US ya leo si ile ya 1980s au 1990s... Inazidi kuporomoka... Ndio laana hizo za ushoga..
Mnakwenda kuomba pesa ambazo ni printed wao wanachukua rasilimali... Ni ujinga na viongozi wenu kujaa uroho lakini Africa ni tajiri kuliko...
Huyo mlokole Rabbon hajui kizunguHiyo taarifa ya kuchongwa na AI wal sio Trump.
Pia Katika wabunge wa Republicans kuna mashoga pia.
Ushoga ni halali kwa USA na watu wengi wa vyama vyote wanakubaliana juu ya hilo.
Issue Labda kwenye transgender na sio kwenye ushoga
Ni changamoto sana walokole wanajitungia mambo ili kuzuia ulaji wa vinyeo.Huyo sio Trump. Ni AI wametumia picha ya Trump na kuweka maneno. Trump hajaongea chochote kuhusu LGBT siku za karibu ni.