Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Sasa Trans gender haimo kwenye LGBTQ?

Kwann mnatetea USHOGA iwe kana ni jambo la kawaida?
Hakuna mabishsno kuhusu ushoga kwa Wamarekani bila kujali ni Democrats au Republicans.

Kuna mabishano kuhusu trans gender.

Trump hajatoa hotuba yoyote siku za karibu ni kuhusu ushoga.
Video zote mnazo share ni fake. Ni watu wanatumia kuchaguliwa kwa Trump ili kueneza uongo.
 
Hizo nchi zimefika hapo zikiwa zinapiga marufuku agenda za kishoga, hizo nchi zimestawi na kupata uchumi na nguvu za kijeshi kipindi ushoga unapigwa marufuku...

Tazama US inavyodondoka hivi sasa kwenye ushawishi wa kidunia, Trump anaposema make America great again ina maana ameina US inakwenda kuangukia kidevu na kuzidiwa na nchi kama China...

Trump ana maono, na ukiacha ushabiki utagundua US ya leo si ile ya 1980s au 1990s... Inazidi kuporomoka... Ndio laana hizo za ushoga..

Mnakwenda kuomba pesa ambazo ni printed wao wanachukua rasilimali... Ni ujinga na viongozi wenu kujaa uroho lakini Africa ni tajiri kuliko...
Hakuna kitu mtu mweusi anaconda zaidi ya kuanya zinaa na kucheza ngoma,hawawezi kukuelewa mkuu
 
At some point ilikua mtu akijulikana ni lesbian au gay watu wanajikusanya wanamuua na hakuna anayefikishwa kokote. Kisha in 2025 exposure ipo in it's highest ifanikiwe kufuta hizo ishu? Tena bila kuuana kama ilivyokua kabla?
 
Hiyo taarifa ya kuchongwa na AI wal sio Trump.

Pia Katika wabunge wa Republicans kuna mashoga pia.

Ushoga ni halali kwa USA na watu wengi wa vyama vyote wanakubaliana juu ya hilo.

Issue Labda kwenye transgender na sio kwenye ushoga
Huyo mlokole Rabbon hajui kizungu
 
Back
Top Bottom