Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Sasa Trans gender haimo kwenye LGBTQ?

Kwann mnatetea USHOGA iwe kana ni jambo la kawaida?
Hakuna mabishsno kuhusu ushoga kwa Wamarekani bila kujali ni Democrats au Republicans.

Kuna mabishano kuhusu trans gender.

Trump hajatoa hotuba yoyote siku za karibu ni kuhusu ushoga.
Video zote mnazo share ni fake. Ni watu wanatumia kuchaguliwa kwa Trump ili kueneza uongo.
 
Hakuna kitu mtu mweusi anaconda zaidi ya kuanya zinaa na kucheza ngoma,hawawezi kukuelewa mkuu
 
At some point ilikua mtu akijulikana ni lesbian au gay watu wanajikusanya wanamuua na hakuna anayefikishwa kokote. Kisha in 2025 exposure ipo in it's highest ifanikiwe kufuta hizo ishu? Tena bila kuuana kama ilivyokua kabla?
 
Hiyo taarifa ya kuchongwa na AI wal sio Trump.

Pia Katika wabunge wa Republicans kuna mashoga pia.

Ushoga ni halali kwa USA na watu wengi wa vyama vyote wanakubaliana juu ya hilo.

Issue Labda kwenye transgender na sio kwenye ushoga
Huyo mlokole Rabbon hajui kizungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…