Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Shida wengi wao Tsunami ishapita kitambo
 
US na ushoga ni pete na kidole, hakuna kitu anaweza kufanya huyo
 
Ila kuna states hazina hizo sheria.
 
Trump alikuwa rais kwa miaka minne alishindwa nini, kuziondoa hizo sheria zinazoruhusu watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kuwako jeshini? Trump anaenda kurudi nyumbani maana yeye alishawai kuwa rais na hakufanya lolote ili kupunguza changamoto zilizopo katika nyanja lukuki.
 
Endeleeni kupakuliwa lakini Donald Trump amesema hataki!!!
 
Lengo mojawapo la LGBTQ ni kupunguza uzazi so I think hili jambo la Donald linahalalisha uzazi and hence kizazi kwenda kizazi kingine litaendelea kama kawaida
Mashoga Marekani wanatumia surrogate mothers na wana adopt watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…