Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Du...!Surrogate mothers ni Wanawake wanaozalia watu watoto kwa mkataba maalumu kama yule wa Ronaldo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du...!Surrogate mothers ni Wanawake wanaozalia watu watoto kwa mkataba maalumu kama yule wa Ronaldo.
Actualy sam altman si gay although ana support kama wamarekani wengineCEO wa Apple ni shoga
CEO wa OpenAI-ChatGPT ni shoga
Well unlike tz, america mfanya maamuzi si mtu mmoja, lazima maamuz hayo yajadiliwe na yapitishwe ndio yawe approved. Swali ni je mifumo mingine ita support?View attachment 3133396
Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi sasa amechukua msimamo unaofanana na wa kihafidhina wa chama chake.
Katika kampeni za 2024, Trump ameelezea mipango ya kurejesha baadhi ya sera za kihafidhina kama vile marufuku dhidi ya watu waliobadili jinsia kutumikia katika jeshi, ambayo iliondolewa na Joe Biden. Pia ameahidi kupinga sera za haki za watu wa LGBT, hasa kuhusu suala la haki za watu wanaobadili jinsia, kama vile matumizi ya vyoo au kushiriki katika michezo kulingana na utambulisho wa kijinsia. Trump na washirika wake wamejikita zaidi kwenye suala la kulinda kile wanachokiita "haki za wazazi" dhidi ya sera zinazounga mkono haki za watu wa LGBT mashuleni na katika jamii kwa ujumla.
Waafrika wenzetu mnaoweza kupiga kura huko, TWENDE na TRUMP
Amefunga hadi ndoa kabisa na mwanaume mwenzake.Actualy sam altman si gay although ana support kama wamarekani wengine
Hoja ya ushoga ni hoja ndogoHahaha apate urais kwa sababu ya ushoga? Huijui Marekani kijana, ushoga ni agenda ndogo sana ya braiwashed minds! America ni kiranja wa dunia haiwezi kumpa mtu urais kwa vijiagenda km vya mama tulia kule nje. Mtu anayepewa urais Marekani lazima aonyeshe ataipeleka wapi dunia kwa miaka minne ijayo comprehensively sio kwa vijihoja vitatu vya mihemko
Good news yeye ndie mume, but wtf man 🤣Amefunga hadi ndoa kabisa na mwanaume mwenzake.
Yeye Trump kishasema inatosha. Hilo suala la mufumo mingine kukubali ni out of context hereWell unlike tz, america mfanya maamuzi si mtu mmoja, lazima maamuz hayo yajadiliwe na yapitishwe ndio yawe approved. Swali ni je mifumo mingine ita support?
Wamarekani wenyewe wana shida nao? Una waathiri kiuchumi au kikazi?
Hiyo sio tz, na si ccm. Anaweza akasema na senate wakaweka ngumu, state attorney akatia ngumu. Na hiyo mifumo ikikataa atabaki nayo yeyeYeye Trump kishasema inatosha. Hilo suala la mufumo mingine kukubali ni out of context here
Mwamba kasoma majira vyedi. Anapita akitaka zaidi awalegezee zile sheria zinazo wabana wanaume katika talakaView attachment 3133396
Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi sasa amechukua msimamo unaofanana na wa kihafidhina wa chama chake.
Katika kampeni za 2024, Trump ameelezea mipango ya kurejesha baadhi ya sera za kihafidhina kama vile marufuku dhidi ya watu waliobadili jinsia kutumikia katika jeshi, ambayo iliondolewa na Joe Biden. Pia ameahidi kupinga sera za haki za watu wa LGBT, hasa kuhusu suala la haki za watu wanaobadili jinsia, kama vile matumizi ya vyoo au kushiriki katika michezo kulingana na utambulisho wa kijinsia. Trump na washirika wake wamejikita zaidi kwenye suala la kulinda kile wanachokiita "haki za wazazi" dhidi ya sera zinazounga mkono haki za watu wa LGBT mashuleni na katika jamii kwa ujumla.
Waafrika wenzetu mnaoweza kupiga kura huko, TWENDE na TRUMP
Kwani Biden alipewa Kwa ajenda ipi?Hahaha apate urais kwa sababu ya ushoga? Huijui Marekani kijana, ushoga ni agenda ndogo sana ya braiwashed minds! America ni kiranja wa dunia haiwezi kumpa mtu urais kwa vijiagenda km vya mama tulia kule nje. Mtu anayepewa urais Marekani lazima aonyeshe ataipeleka wapi dunia kwa miaka minne ijayo comprehensively sio kwa vijihoja vitatu vya mihemko
Unataka kusemaje labda? Kwamba ushoga unaongeza akili?CEO wa Apple ni shoga
CEO wa OpenAI-ChatGPT ni shoga
Yaani wewe ni mwerevu kuliko mgombea wa Marekani yenyewe? Eti anaweza akasema senate ikakataa?Hiyo sio tz, na si ccm. Anaweza akasema na senate wakaweka ngumu, state attorney akatia ngumu. Na hiyo mifumo ikikataa atabaki nayo yeye
So rais kusema haimaanishi ndio sheria, amezungukww na jamii inayo jielewa si kondoo kama tz
Tusiwe kama ChichidodoUnataka kusemaje labda? Kwamba ushoga unaongeza akili?
Haijaibuka, ilikuwepo ila haikuwahi kupata mtu aliyeipa kipaumbele kwa maslahi yake ya siasa kama Trump.Kuna christian nationalism imeibuka marekani,ni movement kubwa,analenga kura zao
Kwani Biden alipewa Kwa ajenda ipi?
Hoja ya ushoga ni hoja ndogo
Seriously
Hujui hata kwanini sodoma na gomora ziliteketezwa kwa Moto
Aisee
Nakubali mjumbe wa baraza la seneti la Tandahimba.
Na wewe ni shoga? Mbona povu jingi? Ongea kwa mtazamo wa Kiafrika siyo Kimarekani
Mkuu naomba unitafute baada ya uchaguzi kuisha, trump ni rais ajaye wa marekani