Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Trump ni mwehu hatoweza kutusaidia afrika,unasahau alivyosema wakati akiwavrais kuwa afrika ni shimo la mavi?
Kusema Adrica ni shithole siyo tatizo kwa kuwa amewalenga viongozi wetu ambaonwana raslimali zote lakini Africa ni maskini.

Pamoja na kwamba Trump alisema Africa ni shimo la choo bado Africa hususan Tanzania iliendelea kupata misaada kutoka Millenium Challenge Account kwa ajili ya miradi ya miundombinu na PEPFAR kwa ajili ya kupambana na maginjwa ya UKIMWI na Malaria.

Usiseme uwongo kwa vile unapenda USHOGA
 
Kama wanakula wanashiba na hawajalalamika we inakuuma nini, unajua mama yako au baba yako akileta ugali katoa wapi? Achana na akili za kifirauni na kukariri, open your mind hamna mtu katetea ushoga hapa kwa akili yako finyu ya channel moja umeona ushoga tu hapa mengine huyaoni! Elimika kwanza
Sawa shoga Maseke ya Meme endelea kupakuliwa nimekuelewa
 
Kwa marekani hiyo sio ajenda ya kushinda urais.

Anaweza kuwakamata manyumbu wachache wanaodanganyika kwa ahadi hewa za kufariji mioyo, lakini kundi kubwa la watu halidanganyiki kihivyo.

Na ukumbuke suala la ushoga marekani ni la kisheria, sio la majukwaani. Kuna sheria zimetungwa kulinda ushoga na ndoa za mashoga kwahiyo sio jambo la kubwabwaja tu ni MCHAKATO.

Sio kama Tanganyika, mtu akijidai anapinga ushoga utashangaa anaweza kuchaguliwa kuwa hata Rais. Kuna ule ugonjwa wa akili wa MIHEMKO.

Ukiwa Marekani huwezi kupata fursa ya MIHEMKO. Unadhibitiwa na wasomi.

Cc: Stuxnet Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable Nyani Ngabu Kiranga Poor Brain
 
Ndiyo maana situmii iPhone hata siku moja toka nijuwe kuwa Tim Cook ni shoga
Mkuu unajipa tabu ya bure. Ukitaka kuwa salama kabisa mbali na bidhaa zote zenye mikono ya mashoga, labda urudi kwenye ulimwengu wa stone age (ingawa sidhani kama walikosekana kabisa). Hao watu siku wakitangaziwa uhuru kujieleza amin nakwambia unaweza kuta unakimbia hata mitaa au ofisi yako! 😂

Huko Magharibi bahati nzuri (au mbaya) wako wazi ndio maana tunaweza kufahamu na "kuepuka" baadhi ya bidhaa tukitaka. Lakini ni vyema zaidi sisi tuendelee kuishi gizani. Kama wanavyosema, Muislamu akila nguruwe bila kujua haiwi dhambi. FIKIRI kwa mfano siku ikigundulika kwa baadhi ya wabunifu na watendenezaji wa ARVs tunazoletewa msaada hapa ni mashoga itakuwaje?
 
Kwani Biden alipewa Kwa ajenda ipi?
Biden alishinda kwa "protest vote" dhidi ya Trump. Wapiga kura wengi waliibuka na hoja moja tu: kumtoa Trump madarakani. Hawakujali kama Biden yukoje. Aliokota dodo tu.
 
Mkuu unajipa tabu ya bure. Ukitaka kuwa salama kabisa mbali na bidhaa zote zenye mikono ya mashoga, labda urudi kwenye ulimwengu wa stone age (ingawa sidhani kama walikosekana kabisa). Hao watu siku wakitangaziwa uhuru kujieleza amin nakwambia unaweza kuta unakimbia hata mitaa au ofisi yako! 😂

Huko Magharibi bahati nzuri (au mbaya) wako wazi ndio maana tunaweza kufahamu na "kuepuka" baadhi ya bidhaa tukitaka. Lakini ni vyema zaidi sisi tuendelee kuishi gizani. Kama wanavyosema, Muislamu akila nguruwe bila kujua haiwi dhambi. FIKIRI kwa mfano siku ikigundulika kwa baadhi ya wabunifu na watendenezaji wa ARVs tunazoletewa msaada hapa ni mashoga itakuwaje?
Shauri yako kama una UKIMWI, endelea kula dawa zikizogunduliwa na mashoga
 
Kwa marekani hiyo sio ajenda ya kushinda urais.

Anaweza kuwakamata manyumbu wachache wanaodanganyika kwa ahadi hewa za kufariji mioyo, lakini kundi kubwa la watu halidanganyiki kihivyo.

Na ukumbuke suala la ushoga marekani ni la kisheria, sio la majukwaani. Kuna sheria zimetungwa kulinda ushoga na ndoa za mashoga kwahiyo sio jambo la kubwabwaja tu ni MCHAKATO.

Sio kama Tanganyika, mtu akijidai anapinga ushoga utashangaa anaweza kuchaguliwa kuwa hata Rais. Kuna ule ugonjwa wa akili wa MIHEMKO.

Ukiwa Marekani huwezi kupata fursa ya MIHEMKO. Unadhibitiwa na wasomi.

Cc: Stuxnet Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable Nyani Ngabu Kiranga Poor Brain
Kwa hiyo wewe pimbi kutoka Nangurukuru unajuwa sheria za mashoga Marekani kuliko mgombea urais wa Marekani Donald Trump??? Acheni kujipa umuhimu nyie wanasiasa wa Buza Makangarawe
 
Back
Top Bottom