Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Trump alikuwa rais kwa miaka minne alishindwa nini, kuziondoa hizo sheria zinazoruhusu watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kuwako jeshini? Trump anaenda kurudi nyumbani maana yeye alishawai kuwa rais na hakufanya lolote ili kupunguza changamoto zilizopo katika nyanja lukuki.
Same can be said of kamala harris, tofauti ni kwamba mfumuko wa bei haukua mkubwa kipindi cha trump ukilinganisha na kipindi cha Harris na Biden
 
Kwa kwa kuwa sio muelewa kama watanzania wengine ntakusaidia, kukupa desa kwa kuwa mmezoa madesa na hamna tena uwezo wa kushughulisha vichwa vya juu mnashughulisha zaidi vya chini, anyway mimi mwalimu na kawaida hatuchoki kuelewesha ngumbaru hadi waelewe! Nimesema Rais wa Marekani hapatikani kwa hoja moja na dhaifu kama ushoga, yani hii ni sehemu tu ya hoja maelfu anazotakiwa kuonyesha atazifanyia kazi kwa next 4yrs, halafu habari ya ushoga mnaikuza huko matombo tu hapa kwa wenyewe hata sio habari, kwa kuwa mmekaririshwa ushoga, frimason, miujiza, na uchawi basi mmekuwa na single channeled minds kama kasuku, jiongeze kijana.
Ko wew unafikiri una akili na hoja kuliko Trump?
Kama vipi wakupe wewe urais
Au je sera za Trump ni hiyo tu?
Mbona ana sera nyingi nzur
Ndio maana watu wanakuhisi vibaya
Marekani kwa pale ilipofikia sio nchi ya sera za kujitafuta Sana kama watz
Marekani ni kiranja wa Dunia
Nadhani akipatikana Rais wa kuupinga ushoga kwa sasa atasaidia kuokoa mamilion ya vijana wetu na watoto wetu
 
View attachment 3133396

Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi sasa amechukua msimamo unaofanana na wa kihafidhina wa chama chake.

Katika kampeni za 2024, Trump ameelezea mipango ya kurejesha baadhi ya sera za kihafidhina kama vile marufuku dhidi ya watu waliobadili jinsia kutumikia katika jeshi, ambayo iliondolewa na Joe Biden. Pia ameahidi kupinga sera za haki za watu wa LGBT, hasa kuhusu suala la haki za watu wanaobadili jinsia, kama vile matumizi ya vyoo au kushiriki katika michezo kulingana na utambulisho wa kijinsia. Trump na washirika wake wamejikita zaidi kwenye suala la kulinda kile wanachokiita "haki za wazazi" dhidi ya sera zinazounga mkono haki za watu wa LGBT mashuleni na katika jamii kwa ujumla.

Waafrika wenzetu mnaoweza kupiga kura huko, TWENDE na TRUMP
Aliwahi kuwa raisi, alisaidiaje kuupunguza ushoga?
 
Barack Obama ndiye muasisi wa sera za haki za LGBT na alichangia kwa kiasi kikubwa katika kupanua haki za watu wa jamii hiyo wakati wa urais wake. Utawala wake uliunga mkono ndoa za jinsia moja, haki za watu wanaobadili jinsia, na kupambana na ubaguzi dhidi ya watu wa LGBT. Hatua maarufu zaidi ilikuwa ni kuunga mkono kisheria ndoa za jinsia moja, jambo ambalo lilipitishwa rasmi na Mahakama Kuu ya Marekani mnamo mwaka 2015.

Nahisi naye Obama alikuwa bwabwa tu!! Ukweli uko hapa kwenye tukio la mwaka 2008 na Sinclair

View: https://x.com/4Mischief/status/1661736502500679685?t=4l4eNhdSZTUuaKOLWofYxw&s=19

Bullshit.
 
nasikia obama na mzee wa msoga ni marafiki
 
Back
Top Bottom