Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
- Thread starter
- #61
Ni nguvu tu unazotumia kutetea huo uchafu ndiyo nazishangaa!! Unadai ushoga Marekani siyo issue, Je kama siyo issue kwa nini mgombea wa Republican analiongea kwenye kampeni?Haya, umeridhika? hunijui sikujui huenda hapa unachonga kumbe upo sinza makaburini umeshikilia msalaba, au kaka na baba zako wapo hukohuko, JF raha sana unasema lolote tu, nani anajali?
Ukiona mtu anachukizwa na kitu ujuwe kinagusa masilahi yake.
Umekwenda Marekani na ndugu zako wanajuwa uko kupiga box kumbe masela wanakupumulia kisogoni.