Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Hebu kaa chonjo al shabab wapo area (kwa sauti ya dj afro).

Al shabab ni wana wetu ,ndugu ,dada na ni wapenzi pia....pamoja na wakwe na wajomba,sioni cha ajabu hapo....mgogoro wetu ni wakawaida sana ,tena wa nyumbani...mkiuingilia tutaungana sote tukawageuzieni kibano!.
 
Sina kasumba ya kubishana na wakabila.
 
Kabla hajaongea nae nitawasiliana na trump kwanza haha
 
Hata nikiangaliaga habar upande wa weather kwenye TV kubwa km CNN, BBC, Fox... wanaishiaga kuitaja Nairobi na Pretoria tu, huku kusini

Sikuwa na maanisha makalio kiwiliwili abadan khataan,kama hulijui umuhimu wa methali unahitaji elmu ziada.
inaonyesha mlivyo viduchu wanyika nyie!
Nilikupa jibu linalokustahili sikwamba sijui mithali ila sikutaka nihojine kwa muda na mtu asie na mlengo maalumu ila uelekeo wa upepo, ukinuna takwambia mkuki kwa kurunguwe na sina haja ya kuwa siafu ili unielewe ninacho amini sikio la kufa hasikii dawa hata baada ya chungu kutokota.
 
Btw lini utahama kibera?
poor man
 
Hata nikiangaliaga habar upande wa weather kwenye TV kubwa km CNN, BBC, Fox... wanaishiaga kuitaja Nairobi na Pretoria tu, huku kusini
CNN, BBC na FOX NEWS!!! Mtakuwa hivi hadi lini? Acheni kutia huruma kiasi cha kuchosha hadi kukosa wakuwahurumia.
 
Halisikii!

Kalb wahed!
 
unamaanisha tanganyika ile ile niijuayo? ama ipi?..kipo kipo tu!....ni kama kichwa cha mwendawazimu **** vile!
sie tunaishi jangwani na wao wanaishi nchi yenye mvua eti ila huezi ukalinganisha uchumi hizi mbili...
 
sie tunaishi jangwani na wao wanaishi nchi yenye mvua eti ila huezi ukalinganisha uchumi hizi mbili...

Maajabu ya Musa mkuu haya!...basi wacha tu!....ndicho kichwa cha mwendazimu hicho kiitwacho tz kaka!....πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…