Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Hebu kaa chonjo al shabab wapo area (kwa sauti ya dj afro).

Al shabab ni wana wetu ,ndugu ,dada na ni wapenzi pia....pamoja na wakwe na wajomba,sioni cha ajabu hapo....mgogoro wetu ni wakawaida sana ,tena wa nyumbani...mkiuingilia tutaungana sote tukawageuzieni kibano!.
 
Sina kasumba ya kubishana na wakabila.
 
Kabla hajaongea nae nitawasiliana na trump kwanza haha
 
Hata nikiangaliaga habar upande wa weather kwenye TV kubwa km CNN, BBC, Fox... wanaishiaga kuitaja Nairobi na Pretoria tu, huku kusini

tanzania ni insignificant in such matters...wacha upumbavu...Afrika ni Kenya, Nigeria, SA, Egypt....regional leaders....regional giants....regional influences...wakati unaposema Tanzania niko sure ata Trump hajui kama kuna nchi kama hio dunia hii...insignificant
 
Sikuwa na maanisha makalio kiwiliwili abadan khataan,kama hulijui umuhimu wa methali unahitaji elmu ziada.
inaonyesha mlivyo viduchu wanyika nyie!
Nilikupa jibu linalokustahili sikwamba sijui mithali ila sikutaka nihojine kwa muda na mtu asie na mlengo maalumu ila uelekeo wa upepo, ukinuna takwambia mkuki kwa kurunguwe na sina haja ya kuwa siafu ili unielewe ninacho amini sikio la kufa hasikii dawa hata baada ya chungu kutokota.
 
tanzania ni insignificant in such matters...wacha upumbavu...Afrika ni Kenya, Nigeria, SA, Egypt....regional leaders....regional giants....regional influences...wakati unaposema Tanzania niko sure ata Trump hajui kama kuna nchi kama hio dunia hii...insignificant
Btw lini utahama kibera?
poor man
 
Hata nikiangaliaga habar upande wa weather kwenye TV kubwa km CNN, BBC, Fox... wanaishiaga kuitaja Nairobi na Pretoria tu, huku kusini
CNN, BBC na FOX NEWS!!! Mtakuwa hivi hadi lini? Acheni kutia huruma kiasi cha kuchosha hadi kukosa wakuwahurumia.
 
Nilikupa jibu linalokustahili sikwamba sijui mithali ila sikutaka nihojine kwa muda na mtu asie na mlengo maalumu ila uelekeo wa upepo, ukinuna takwambia mkuki kwa kurunguwe na sina haja ya kuwa siafu ili unielewe ninacho amini sikio la kufa hasikii dawa hata baada ya chungu kutokota.

Halisikii!

Kalb wahed!
 
sie tunaishi jangwani na wao wanaishi nchi yenye mvua eti ila huezi ukalinganisha uchumi hizi mbili...

Maajabu ya Musa mkuu haya!...basi wacha tu!....ndicho kichwa cha mwendazimu hicho kiitwacho tz kaka!....😱😀😀
 
Back
Top Bottom