Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kweli nimesahau mna dictatorMmejisahau alikuja Obama hapa mkaanza kulia kuwa kawatosa ??
Hebu tulieni, na magufuli sio rais wa kutaja ovyo kama hao wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli nimesahau mna dictatorMmejisahau alikuja Obama hapa mkaanza kulia kuwa kawatosa ??
Hebu tulieni, na magufuli sio rais wa kutaja ovyo kama hao wenu.
Hebu kaa chonjo al shabab wapo area (kwa sauti ya dj afro).
kweli nimesahau mna dictator
Sina kasumba ya kubishana na wakabila.Al shabab ni wana wetu ,ndugu ,dada na ni wapenzi pia....pamoja na wakwe na wajomba,sioni cha ajabu hapo....mgogoro wetu ni wakawaida sana ,tena wa nyumbani...mkiuingilia tutaungana sote tukawageuzieni kibano!.
Busara siyo kuongea lugha ya kinyonge. Pamoja na kukemea watu hawa ni moja ya busara.Sasa cha busara ulichokinena hapo ni kipi?
Sina kasumba ya kubishana na wakabila.
tanzania ni insignificant in such matters...wacha upumbavu...Afrika ni Kenya, Nigeria, SA, Egypt....regional leaders....regional giants....regional influences...wakati unaposema Tanzania niko sure ata Trump hajui kama kuna nchi kama hio dunia hii...insignificant
Nilikupa jibu linalokustahili sikwamba sijui mithali ila sikutaka nihojine kwa muda na mtu asie na mlengo maalumu ila uelekeo wa upepo, ukinuna takwambia mkuki kwa kurunguwe na sina haja ya kuwa siafu ili unielewe ninacho amini sikio la kufa hasikii dawa hata baada ya chungu kutokota.Sikuwa na maanisha makalio kiwiliwili abadan khataan,kama hulijui umuhimu wa methali unahitaji elmu ziada.
inaonyesha mlivyo viduchu wanyika nyie!
Btw lini utahama kibera?tanzania ni insignificant in such matters...wacha upumbavu...Afrika ni Kenya, Nigeria, SA, Egypt....regional leaders....regional giants....regional influences...wakati unaposema Tanzania niko sure ata Trump hajui kama kuna nchi kama hio dunia hii...insignificant
CNN, BBC na FOX NEWS!!! Mtakuwa hivi hadi lini? Acheni kutia huruma kiasi cha kuchosha hadi kukosa wakuwahurumia.Hata nikiangaliaga habar upande wa weather kwenye TV kubwa km CNN, BBC, Fox... wanaishiaga kuitaja Nairobi na Pretoria tu, huku kusini
Nilikupa jibu linalokustahili sikwamba sijui mithali ila sikutaka nihojine kwa muda na mtu asie na mlengo maalumu ila uelekeo wa upepo, ukinuna takwambia mkuki kwa kurunguwe na sina haja ya kuwa siafu ili unielewe ninacho amini sikio la kufa hasikii dawa hata baada ya chungu kutokota.
Morocco hawajaanza kujenga ule msikiti na uwanja?Mkipewa ofa na misaada za Morrocco na UChina huwa hulioni hilo?.....kalb whed!
Udikteta kanda ya maziwa makuuagenda?
sie tunaishi jangwani na wao wanaishi nchi yenye mvua eti ila huezi ukalinganisha uchumi hizi mbili...unamaanisha tanganyika ile ile niijuayo? ama ipi?..kipo kipo tu!....ni kama kichwa cha mwendawazimu **** vile!
sie tunaishi jangwani na wao wanaishi nchi yenye mvua eti ila huezi ukalinganisha uchumi hizi mbili...
yaani hawana ata njia ya kujitetea ktk any argument hawa zumbukuku...Kibera hili!! Kibera lile!! wanasahau Tandale...hehe