Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

FBI waliahidi kutoa dola 100,000 hivyo utaona jinsi baba yake huyo dogo alivyokuwa hataki masihara.

Hivyo mzee atakunja dola 100,000 na akipigwa tax atabakia na kiasi cha kutosha.

Tax atalipa asilimia 22 ambayo ipo katika fungu kati ya $47,151 na $100,525

Hivyo 100,000 X 22% -22000= 78,000

Kwahiyo mzee Robinson atakunja dola 78,000, "not too bad".

Na kwa kuwa mwanae Tyler ndie aliekiri kwa baba yake kuwa amemuua Charles Kirk basi hakutakuwa na "bad feelings" kwa baba yake hata akitoka jela.
Baba yake kamsaliti mwanae
 
Ukisoma comments nyingi kwenye social media za US
watu wengi hawaamini kua huyo dogo ndiye aliyefanye hiyo kazi.
Mkuu, yakubidi ufuatilie namna uchunguzi unavyofanywa na hawa jamaa (FBI) hadi kumfikia mtuhumiwa na kumdaka.
 
Umeelewa lakini nilichokiandika?
Umezungumzia jinsi social media zinavyoweka maoni yao ambayo yaweza kuwa si kweli.

Ila kuna watu wenye utaalam na kazi zao hadi kumkamata huyo dogo tangu ameruka kutoka kwenye ile paa, kuchukua gari na kuendesha gari kwa saa 4 kukimbilia kwa baba yake.

Unafahamu kilichomkamatisha na kitakachomfunga au kuuliwa kwa sumu akipatikana na hatia?
 
Umezungumzia jinsi social media zinavyoweka maoni yao ambayo yaweza kuwa si kweli.

Ila kuna watu wenye utaalam na kazi zao hadi kumkamata huyo dogo tangu ameruka kutoka kwenye ile paa, kuchukua gari na kuendesha gari kwa saa 4 kukimbilia kwa baba yake.

Unafahamu kilichomkamata na kitakachomfunga au kuuliwa kwa sumu akipatikana na hatia?
Wewe nae hata hueleweki,naona umekurupuka tu na kujitia utaalamu usio eleweka,

Soma tena comment yangu uielewe,mimi nimeelezea comment za wamarekani wenyewe kwenye social media zao,na wengi wao wanasema kua nowadays kila kitu kinakua planned,dogo inawezekana kua kabebeshwa zigo sio lake,hayo ni maneno ya wamarekani wenyewe waliopo US,
Try to think outside of the box.
 
Ok

Mkuu, weye baki na unavyoamini.

Mimi naamini katika kuhakikisha usalama wa raia wapewa kipaumbele na vyombo vya ulinzi na usalama vyapaswa kuachwa vifanye kazi yao kwa weledi.

Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya usalama.
 
Hata waliomteka SATIVA na SOKA watapatikana, naliamini Jeshi letu
 
Trump amebwabwaja tu alipoulizwa kama muuaji ni leftist kama alivyokuwa akisema
Marekani kwa sasa hali si nzuri sana.

Kwa sababu utawala wa Trump unawagawa wamarekani kwa sera zake zinobadilika kila mara.
 
Muuaji alianza kucheza na bunduki akiwa kinda kabisa😁
20250912_194847.jpg
 
Marekani kwa sasa hali si nzuri sana.

Kwa sababu utawala wa Trump unawagawa wamarekani kwa sera zake zinobadilika kila mara.
Hana sera zozote, ni mpuuzi tu anayetumia fursa ya hasira na hisia za Wamarekani wapuuzi.
 
Hata waliomteka SATIVA na SOKA watapatikana, naliamini Jeshi letu
Tanzania kuna kikosi ambacho chaweza kuitwa ni "Auxiliary force".

Taarifa za kuingizwa silaha nchini Tanzania huenda ni kwa ajili ya kikosi hicho.

Hufanya hizo kazi ambazo hazipo kwenye mfumo rasmi.

Wana silaha ni kila nyenzo wanohitaji.
 
Ok

Mkuu, weye baki na unavyoamini.
Kwenye comment yangu nimesema naamini nini?
Mimi naamini katika kuhakikisha usalama wa raia wapewa kipaumbele na vyombo vya ulinzi na usalama vyapaswa kuachwa vifanye kazi yao kwa weledi.
Nani kasema hivyo vyombo visiachwe kufanya kazi yao kwa weledi?
Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya usalama.
Mdau mkubwa ila unashindwa kutambua kua kwenye intelijensia pia hua kuna makosa? Hujawahi kusikia kua kuna wafungwa wengi tu walifungwa kwenye jela za US kwa miaka kibao ila ikaja kugundulika kua walifungwa kimakosa? Tambua kwamba huyo dogo ni suspect,bado hajawa convicted,kama unafuatilia masuala ya usalama basi tambua kua,na wengine pia wanafuatilia na huenda wakawa wamekuzidi mbali sana,
Kama simple comment yangu tu hukuielewa,napata mashaka na uelewa wako na uwezo wa kuchambua mambo.
 
Ukinisoma uzuri utaona nimesema huyu ni mtuhumiwa.

Kwenye hili hakuna makosa mkuu dogo kafungiwa tail, akawa under surveillance hadi anafika nyumbani kwao.

Pale alipofanyia shooting, alionekana akiruka na baadae FBI wakafanya Evacuation ya lile jengo na eneo lote ili kuchukua kila kitu DNA samples, kufanya search kwenye jengo zima kupata kila evidence.

Ukiishawekwa "under surveillance" na raia wema pia hushirikishwa hivyo kazi ya kukukamata huwa rahisi.

Ukienda kwenye orodha ya wanomiliki silaha na walopita katika mafunzo yoyote ya kulenga shabaha kuna database na mambo mengine mengi ambayo nilikuelezea hizi taratibu za uchunguzi, itachukua kurasa ndefu.

Kwa ujumla mtuhumiwa pamoja na kukamatwa lakini tiyari amekiri kwa baba yake kuwa amefanya jambo baya Utah kaua.

Hivyo mengine tuachie mahakama zitaamua.
 
Back
Top Bottom