Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

Ukinisoma uzuri utaona nimesema huyu ni mtuhumiwa.

Kwenye hili hakuna makosa mkuu dogo kafungiwa tail, akawa under surveillance hadi anafika nyumbani kwao.

Pale alipofanyia shooting, alionekana akiruka na baadae FBI wakafanya Evacuation ya lile jengo na eneo lote ili kuchukua kila kitu DNA samples, kufanya search kwenye jengo zima kupata kila evidence.

Ukienda kwenye orodha ya wanomiliki silaha na walopita katika mafunzo yoyote ya kulenga shabaha kuna database na mambo mengine mengi ambayo nilikuelezea hizi taratibu za uchunguzi, itachukua kurasa ndefu.

Kwa ujumla mtuhumiwa pamoja na kukamatwa lakini tiyari amekiri kwa baba yake kuwa amefanya jambo baya Utah kaua.

Hivyo mengine tuachie mahakama zitaamua.
Umetoa maelezo mengi ambayo ni based na mtazamo wako tu,kuchukua DNA samples eneo la tukio ni jambo la kawaida,
Ila Baba wa mtuhumiwa ndiye aliyepiga simu na kutoa report mpaka mtuhumiwa kukamatwa,maelezo yako ni process tu ya investigation ila sio hizo process ndio zilizofanikisha kukamatwa mtuhumiwa,

Hizo DNA zitatumika tu kuithibitishia Mahakama kama itakua kweli.
 
Umetoa maelezo mengi ambayo ni based na mtazamo wako tu,kuchukua DNA samples eneo la tukio ni jambo la kawaida,
Ila Baba wa mtuhumiwa ndiye aliyepiga simu na kutoa report mpaka mtuhumiwa kukamatwa,maelezo yako ni process ila sio hizo process ndio zilizofanikisha,

Hizo DNA zitatumika tu kuithibitishia Mahakama kama itakua kweli.

Turning Point USA 'profoundly grateful' to law enforcement​

18:06 , Oliver O'Connell
Charlie Kirk’s organization, Turning Point USA, posted the following message to X:

We can confirm that the individual responsible for the murder of Charlie Kirk is now in custody.

We are profoundly grateful to the men and women of law enforcement who worked with such urgency, dedication, and courage to bring this person to justice. Their commitment has brought an important step toward closure in this incredibly painful time.

Ok no further comment.
 
Uliandika "no further comment" naona ukaenda kuokoteza hiyo post juu ukaja kuipaste hapa! Sijui hata kama post yenyewe umeielewa, mtuhumiwa anakua convicted na Mahakama peke yake! Still U've a lot to learn on ur way.
 
The Right to Guns vs Right to life ni mjadala mzito sana USA na utazidi kujadiliwa baada tukio hili.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
US Bana, Yaani dogo analenga shabaha kama vile special ops, dunia ya Kwanza ni ya Kwanza hata upumbavu huwa ni wa kiwango cha juu.
 
Ukinisoma uzuri utaona nimesema huyu ni mtuhumiwa.

Kwenye hili hakuna makosa mkuu dogo kafungiwa tail, akawa under surveillance hadi anafika nyumbani kwao.

Pale alipofanyia shooting, alionekana akiruka na baadae FBI wakafanya Evacuation ya lile jengo na eneo lote ili kuchukua kila kitu DNA samples, kufanya search kwenye jengo zima kupata kila evidence.

Ukiishawekwa "under surveillance" na raia wema pia hushirikishwa hivyo kazi ya kukukamata huwa rahisi.

Ukienda kwenye orodha ya wanomiliki silaha na walopita katika mafunzo yoyote ya kulenga shabaha kuna database na mambo mengine mengi ambayo nilikuelezea hizi taratibu za uchunguzi, itachukua kurasa ndefu.

Kwa ujumla mtuhumiwa pamoja na kukamatwa lakini tiyari amekiri kwa baba yake kuwa amefanya jambo baya Utah kaua.

Hivyo mengine tuachie mahakama zitaamua.
Stori yako haijanyooka. Dogo alikiri kuua kwa baba yake na baba yake akapiga simu FBI wakaja kumchukua. So technically dogo ali-surrender, hajakamatwa.
 
Mshukiwa wa mauaji ya mwanaharakati Charlie Kirk yaliyotokea katika chuo kikuu cha Utah nchini Marekani ametiwa mbaroni na kuhitimisha msako mkali uliofuata kile Trump alichotaja kama mauaji ya kutisha.

Muuaji wa Kirk aliwatoroka polisi na maafisa wa shirikisho kwa zaidi ya saa 24 baada ya tukio la kufyatulia risasi siku ya Jumatano, ambapo mdunguaji alifyatua risasi moja iliyomuua Kirk wakati wa hafla katika Chuo Kikuu cha Utah Valley huko Orem.

1757749285309.png
Hapo awali, wachunguzi wa Marekani walisema wamepata bunduki ya ‘bolt-action’ inayoaminika kutumika kumuua Kirk na kutoa picha za mtu anayetafutwa.

Kirk alikuwa mwandishi, mtangazaji wa podikasti na mshirika wa karibu wa Rais Trump na alisaidia katika uungwaji mkono wa Chama cha Republican miongoni mwa wapiga kura vijana.
 
The Right to Guns vs Right to life ni mjadala mzito sana USA na utazidi kujadiliwa baada tukio hili.
Hakuna mjadala wa aina hiyo US. Mjadala ni the right to own guns without regulations vs owning guns with regulations. Ishu ya the right to live ni kwenye mambo ya abortion ambao pia ni mjadala mkubwa.
 
Sawa nimekuelewa- japo hujafahamu context . Proliferation of guns and ensuing gun violence is a clear and present danger to our lives iwe Marekani au popote duniani.
 
Dogo kafundishwa na Mzee wake kulenga shabaha Toka akiwa na miaka 11, hawa wenzetu wazungu sometimes ni wajinga haswa.
Miaka yote Baba yake amekuwa anamfundisha tena Kwa kulipia kozi za ulengaji shabahaView attachment 3470530
Second ammendment inatoa ruksa kumiliki silaha ukifika muda fulani hata hizo range alizokuwa anafanya yapo maduka maalum utaenda kuchagua silaha utanunua utafanyia mazoezi hiyo yote iko kisheria tatizo kubwa tu ni hao ambao wanazitumia ndivyo sivyo.

Nilikua natafuta video mojawapo ya wanaoongea kiswahili wakifanyia mazoezi hiyo hapo kwa hao wakenya .

View: https://youtu.be/JPG3jXy9xFQ?si=bTmrlNMmnLNCCAih
 
Shukran Sana Kwa kuongezea nyama
 
Back
Top Bottom